Uchenjuaji wa dhahabu katikati ya makazi ya watu ni sawa ki afya?

Mpunilevel

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
3,140
1,871
Nimeona niliseme hili ili kupata mawazo ya wadau.
Ninavyofahamu mimi shughuli hii husababisha pollution.
Na ninaamini shughuli hii lazima iwe mbali na makazi ya raia.
Pitapita yangu sehemu moja mkoa wa Geita mjini kata ya Kalangalala eneo la jirani na shule ya msingi mbugani shughuli hii Inafanyika.
Je? Ni Sawa
Naomba mamlaka zifuatilie
 
Kama wanatumia mercury ni pollution tena ya hatari...Mercury ni sumu na ndo wanaitumia kunasa dhahabu hao wanao-extract locally.
 
Back
Top Bottom