Mahakama
New Member
- Jun 11, 2016
- 2
- 1
Lengo kubwa la Msajili wa Makumpuni kuwekwa pale BRELA ni kusaidia katika usajili wa nyaraka mbalimbali. Ikiwemo forms mbalimbali za mabadiliko katika kampuni pamoja na nyaraka nyingine.
Lakini katika ofisi hiyo ya msajili wa makampuni pale BRELA kuna eneo moja ambalo limekuwa na uzembe na ujuaji wa kupindukia. Pamoja na dharau zisizo kuwa na Msingi. Eneo hilo ni eneo ambalo linalofanya usaji wa Debentures pamoja na Charges. (Yaani usajili wa mikopo kwa makampuni).
Kitengo hicho kimekuwa ni kikwazo kikubwa sana kwa wanaohitaji huduma hapo BRELA. Unakuta mtu unakabidhi documents zako na umeshafanya malipo ya filing fees lakini kuja kupatiwa Certificate of registration of Charge au Debenture inakuwa ni shida sana. Inakuwa kama unakopesha fedha serikalini.
Sheria pamoja na utaratibu wa pale BRELA unasema usajili wa nyaraka hizo, yaani Debenture pamoja na Charges ufanyike ndani ya siku 3. Lakini kwa jinsi ambavyo kitengo hiko kimetawaliwa na rushwa; Usajili unachukua zaidi ya Siku hata 15 kama usipotoa Hela ya kuharakisha kazi.
Kama hao watendaji husika wa hilo eneo wanakula rushwa pamoja na Mishahara ya serikali ambazo ni kodi za wananchi kwa nini wasifanye kazi pamoja na usajili ndani ya muda husika?
Makampuni kibao yapo yanafanya biashara na yanalipa kodi nyingi sana kwa serikali; lakini BRELA kwa upande wa usajili wa Debenture na Charges wamekuwa ndio chanzo cha kukwamisha usajili wa nyaraka hizo ndani ya muda.
Na watendaji waliopp katika kitengo hiko wapo hapo muda mrefu sana, na wanafanya kazi kwa mazoe; bila hata kuwa na uelewa vizuri wa kisaidia uendeshaji wa biashara.
Ifike wakati sana kitengo hiko kifanyiwe mabadiliko ila kazi zetu ziende.
Na wanaoleta vikwazo hivi ni watu wawili. Mmoja anajulikana kama Mama Mchungungaji pamoja na dada mwingine anaitwa Getrude ambao wamepata utajiri mkubwa sana kupitia rushwa kwa ambazo ni kutokana na ucheleweshaji wa kazi. Yaani usipotoa hela kazi yako haitafanyika. Utapewa sababu kibao mara file limepotea, mara file halionekani, mara msajili hayupo. Yaani mambo kibao.
Sijui kama hao wasajili wanajua mambo yanayoendelea ndani ya hiko kitengo. Serikali chini ya Wizara ya viwanda na biashara ifanyie kazi swala hili.
BRELA Matatizo yamekuwa mengi baada ya msajili aliekuwa mchapa kazi na muelewa wa hivi vitu kuondoka (Rehema Kitambi).
Ni wakati sasa huyu Mkurugenzi Mpya Godfrey Simango kuangalia haya mambo na kuyafanyia kazi: La sivyo na yeye aondolewe tu.