Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,074 Reaction score 34,844 Jun 14, 2010 #1 <center>How many black dots do you see ? </center> <center> </center>
Maarifa JF-Expert Member Joined Nov 23, 2006 Posts 4,568 Reaction score 2,926 Jun 14, 2010 #2 Good game ingawa sio sangoma!!
B Babuyao JF-Expert Member Joined Jun 6, 2009 Posts 1,740 Reaction score 274 Jun 14, 2010 #3 Dah! Hii kali!
Chamoto Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 9,883 Reaction score 22,305 Jun 14, 2010 #4 There are no black dots, that's just an optical illusion
B Bawa mwamba JF-Expert Member Joined Mar 19, 2010 Posts 350 Reaction score 32 Jun 14, 2010 #5 yapo lakini yanabadilishana na meupe ambayo ni orijinol
Chamoto Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 9,883 Reaction score 22,305 Jun 14, 2010 #6 Bawa mwamba said: yapo lakini yanabadilishana na meupe ambayo ni orijinol Click to expand... Hakuna vidoti vyeusi kabisa, kinacho tokea ni kwamba ukisogeza macho yako rangi nyeusi ambayo ipo kwenye miraba (ambayo ni dominant color) inaingilia (overlapping) hivyo viduara vyeupe.
Bawa mwamba said: yapo lakini yanabadilishana na meupe ambayo ni orijinol Click to expand... Hakuna vidoti vyeusi kabisa, kinacho tokea ni kwamba ukisogeza macho yako rangi nyeusi ambayo ipo kwenye miraba (ambayo ni dominant color) inaingilia (overlapping) hivyo viduara vyeupe.
Maarifa JF-Expert Member Joined Nov 23, 2006 Posts 4,568 Reaction score 2,926 Jun 14, 2010 #7 Haya watalaam wa fizikai na mialai na miakisi tuambieni katumia janja gani?
Rubi JF-Expert Member Joined Oct 5, 2009 Posts 1,615 Reaction score 332 Jun 14, 2010 #8 mimi naona maluelue tu.
Eng Kimox Kimokole JF-Expert Member Joined Jun 9, 2010 Posts 1,041 Reaction score 772 Jun 14, 2010 #9 Optical Illusion 😛ound: