Uchawi upo, usidanganywe

Mbona sasa unachanganya ndugu usha sema mwanangu alipatwa na mararia yakapanda kichwani lakini mungu si asumani tukajitahidi kumpeleka hospitali madaktari akapona.ooooo kumbe ilikia mararia kwa hiyo we2 ulilogelezea kwenye mararia uwiiiiiiiiiiiiiii
Hebu jaribu kuandika vizuri bila kumpa mtu shida ya kukuelewa...au washaroga muandiko nini?haha
 
Sina elimu kabisa ila najua kusoma na kuandika hilo nisamehe.ila nilijaariwa kuwa na ufahamu ambao natamani kuukuza zaidi.lakini pia wakati wa uandishi kuna kujichanganya sory darasa la 2 nilishia wakati huo sory
 
Kama tangazo vile kwa karibuuuuu.Watu wakitapeliwa utalaumiwa mno.
 
Asie amini kuwa hivi vitu vipo, laweza lisikupate wewe ila mwanao kipenzi akaanza kuteswa non-stop na mambo yasioeleweka lazima utatia akili!
Mi nina bro wangu katupiwa jini la sauti full time anaongea vitu havieleweki halali usiku kucha, alikuwa mbabe na baada ya kuanza kushika pesa ndio ikawa balaa sahivi kawa kama fala biashara zote zimekufa anadunduliza hela ya kula tu karudisha majeshi home sasa we usie amini endelea kutoamini!
 
Huku napokaa kuna mtoto alikuwa ana maumivu ya tumbo na akapelekwa hospitali ila vipimo havioneshi tatizo lolote,basi wakarudi naye nyumbani na kutafutiwa mtaalamu na sasa navyoongea yuko fresh kabisa.

Haya ni matukio ya kawaida tu kwenye jamii zetu,huwa naona ni kujichosha kubishana kuwa hakuna uchawi hasa kwa mazingira kama yetu.
 
Kwa pamoja tunaweza amua kujifunza hii nguvu ya uchawi ipoje na inafanyaje kazi.hii ndio faida kubwa tutakayo ipata tuachane na vitu vya kufikirika au kuambiwa watu wote wanao rogwa ni wajinga tu.hata uwe msomi kiasi gani kama huwa unarogwa/ulilogwa pia kama uliwahi kwenda kwa mganga we ni bwege,mjinga yaani akili akili huna kabisa....ukitaka msaada tutaftane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…