Uchawi upo kweli kwenye mapenzi..!?

Juma WALEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
204
Reaction score
40
Nimesikia mengi sana libwata, dawa za kumfunga mpenzi je hili la kumrudisha mpnz hata km yupo mbali kuna ukweli?
 
That shit ain't true. It doesn't exist in actuality.

It's all in one's head.
 
wazoefu watalisema hilo...

maana limekaa kiswahili sana
 
kweli upo... mimi nimetembea nimeona. kimsingi duniani kuna wenyeji usiombe...
 
Kijana unalijua limbwata? Usiombe kukutana nalo maishani ni hatari!,...
 
Hakuna kitu kama hicho ni imani tu ambazo kuna baadhi ya watu wanaziamini.
 
zipo na zikikukole unaenda kumchambisha babe toilet na hata akikamba unamuambia pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…