ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,873
Diamond amechelewa tu kulitambua hilo...Clouds hua wanataka wakunyonye to the fullest..hawataki ujitegemeee na uwe na uwezo wa kusimama kama wewe...ndio maana kila siku wanajitahidi kuwabana wasanii ili wanyenyekewe....
Diamond alionyesha uwezo wa kusimama yeye kama yeye...Na hilo ni kosa kwa Clouds Fm...
JD ameyagundua hayo siku nyingi ndio maana She doesnt give a fk about the mozafks clouds fm.....
Siku ya Fiesta hata wakati Diamond anaingia ku perform MC hakusema hata vile kuwaandaa mashabiki kua Diamond anaingia....
MC hao hao kina Fetty wakashangilia sana wakati wa kumkaribisha Kiba......
Wale wazomeaji waliandaliwa...Take my word.......
Diamond pamoja na mapungufu yake...Dogo is a hustler...
Ni mfano wa kuwa ukifanya kazi kwa bidiii utafanikiwa...
Huyo kiba ni mvivu...si mbunifu...Alipata nafasi akashindwa kuitumia
Haahaaaaaaa
penda kinywaji sana!
Wabongo bhana.sijui tutabadilika lini?kweli tutaendelea kuwa masikini hivi hivi kwa ujuma na usuda wa sababu za hovyo.wivu huo wote tuh.
Kijana kaongea kweli! Labda mbeye hakuna hotel ya hadhi yake kwa ninj asiseme, hiyo lift wamepata Juzi ba wametangaza dunia nzima
Turudi kwenye topic , hvi nyie watanzania beef ya diamond na kiba nyie ina wasaidia nini? Ebu muacheni dogo apige pesa akiwa na dharau asiwe nayo jui yake! Kwani mkiwa support wote wawili kuna ubaya gani? Ingekuwa marekani mwanamuziki akiwa kwenye chart anafanyiwa hvi nadhani mastar wengi wasingefika walipo, utakuta asilimia 100% ya watu wanaomponda diamond hapa ni watu wazima wenye watoto umri wa diamond lkn wamechezea maisha ss hv awana kitu so hasira zao wanamalizia kwa kijana, Ebu muacheni mtoto wa Mwanamke/Mwanaume mwenzenu apumue kha..!
Na watu wa mbeya, wanyaki walivyo proud na vitu vya kwao, aisee wakisikia hiyo kauli atapoteza mashabiki wengi pande za mbeya na siku akitokea huko atapigwa mawe kama walivyopigwa yanga wakati wa mechi na mbeya city
Wala miguu ya kuku na utumbo wa kuku wa Dar ndio hawampendi Diamond kwa sababu amewazidi kipato na umaarufu.. Huku mikoani kwa wajanja wote wanamkubali Diamond
Unajiita mjanja unatukan mtu usio mjua unamwita fukara... ni ujanja wa songea uo
Maneno yako ya shombo ndio yanayokufanya uzomewe
Achana nae bana huyo ni kikalagosi wake..... Songea to kigoma wapi na wapi wote wakuja yeye na uyo naseeb wake... Wamekuja town jana tuu.....
Wamekuja na mafuriko hao
Diamond anazushiwa na maadui wake ili wamharibie sifa yake nzuri kwa watanzania na wapenda muziki ndani na nje ya Tanzania. Wapuuze wote wanaozushia yeye ndie JEMBE LETU EAST AFRICA.
The fact is unaweza kumchukia Domo upendavyo lakini huwezi kumlinganisha mafanikio yake kimuziki kwa sasa nA Kiba
Tatizo watu wa Dar kula miguu ya kuku na utumbo kumewaathiri sana..Mi niko songea hapa juzi kulikuwa na uvumi wa ujio wa Diamond mji mzima ulijaa hekaheka, Huyo Ali kiba wenu hakuna anaemjua ...
Nashangaa mijitu ina hasira kama nini....waendee huko wasitusumbue bwana kwa raha zetu tunasherehekea kuwagaragaza
Loh,walitukalia kooni jamani wewe acha tu,Kiba kapondwa kama nini...
Dharau mbaya sana kimafanikio ya kimziki na kipesa domo bado sana,hana hata uwezo wa kuwa na private jet halafu useme ana mafanikio? Nenda miami uone mahekalu ya wasanii wenye mafanikio wakiwa wamepaki yatch zao pembeni mwa ufukwe wa nyumba zao,sie masikini tukipata vigari na mabanda ya kulala tunajiona tuna hela,kama diamond ana hela akanunue nyumba oysterbay.
Wala miguu ya kuku na utumbo wa kuku wa Dar ndio hawampendi Diamond kwa sababu amewazidi kipato na umaarufu.. Huku mikoani kwa wajanja wote wanamkubali Diamond
We fukara mi sio level yako.. Mi usafiri wangu ni Ndege Fast Jet ndani ya dakika chache nimeshafika ninakokutaka, usinifananishe na wachimba chumvi wenzako
Na watu wa mbeya, wanyaki walivyo proud na vitu vya kwao, aisee wakisikia hiyo kauli atapoteza mashabiki wengi pande za mbeya na siku akitokea huko atapigwa mawe kama walivyopigwa yanga wakati wa mechi na mbeya city
We fukara mi sio level yako.. Mi usafiri wangu ni Ndege Fast Jet ndani ya dakika chache nimeshafika ninakokutaka, usinifananishe na wachimba chumvi wenzako