Kuna watu 5 wamemuona pindi akiwa nyani hadi anageuka, sie tuliomwona asubuhi, tumekuta tayaria yuko katika hali ya kibinadamu ila alikuwa bado anatembea kama nyani, akishindwa kuongea, hadi alipoanza kutamka maneno yasiyoeleweka, baadae akaanza kutamka maneno yaliyoeleweka, akidai kuna mtu alimchukua ns bajaji akampeleka milimani sasa anashangaa yuko pale.