Uchawi njia saba

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,506
Reaction score
872,377
Bila kujali unatumika kudhuru ama kuagua huu ndio uchawi ushirikina njia saba
1.mitishamba
2.mazao ya mwili
3.mazao bahari
4.majini
5. Mapepo
6. Kafara la damu
7. Matambiko ya mizimu

Rank za wachawi na waganga wa kienyeji zinategemea unatumia uchawi njia ngapi, mchawi njia moja ni mdogo mbele ya mchawi njia mbili na kuendelea...

Top na kiboko yao ni yule anayetumia uchawi njia saba yani huyu ni universal kama ni kwenye elimu ya dunia ni PhD holder na wako wachache mno
Tatizo linakuja kwa hawa waganga wetu unakuta yeye ni mahiri kwenye fani moja tu ama mbili lakini anakuja mtu mwenye tatizo nje ya fani yake...

Asipokubali kujishusha huishia kuumbuka vibaya na kuonekana tapeli ama mwongo.

Tuna matatizo ambayo sometimes suluhu yake ni huku ulimwengu wa giza, lakini ndugu zetu hawa kwa ujuha wao huwa wanajifanya kuweza kutatua lakini mwishowe hushindwa na kuishia kuleta blah blah... Sababu ni moja tu nayo ni ile hulka ya asili ya mwanadamu kutaka kujikweza bila kuwa na uwezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mshana jr.kuna kinga ya mwili isiyoweza kuharibiwa na waganga?na kama ipo ni ya aina ipi kati ya hizo hapo juu ulizozitaja?
 
Aya mambo sijawai kuyaamini kabsa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…