Uchawa na Watanganyika

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,650
Reaction score
5,458
Dhana ya uchawa inazidi kushika kasi.

Ila ajabu ipo tu miongoni mwa Watanganyika. Sikuwahi kusikia Mzanzibari chawa.

Karibuni kwa mjadala bila mihemko.
 
Huyu NSSF kazidi kuwa kungunguni
 
Dhana ya uchawa inazidi kushika kasi.

Ila ajabu ipo tu miongoni mwa Watanganyika. Sikuwahi kusikia Mzanzibari chawa.

Karibuni kwa mjadala bila mihemko.
Jamii haitaki kuupiga marufuku huu uchawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…