Uchangudoa

kashehe ukitoka huko, ukifika hm wife anataka tena kwa speed ya one twnty, na huko unakuwa umekula kwa uroho hzo mbga
 
kashehe ukitoka huko, ukifika hm wife anataka tena kwa speed ya one twnty, na huko unakuwa umekula kwa uroho hzo mbga

wife ni rahisi kukuelewa kuwa unahitaji mapumziko pale unapokuwa hujisikii au umechoka!!!!
 
Hii ni miongoni mwa biashara kongwe kabisa duniani.
Je kwanini wanaume wanawafuata machangudoa?

ni garama nafuu alafu awana kufatanafatana yani ni voda fasta unalpa unapewa huduma akuna kuremba
 
Tamaa ndio chanzo cha mambo yote haya, si migogoro ya ndoa wala nini. Kuna njia muafaka za kutatua migogoro hiyo zaidi ya machangudoa.
 
dr phone u mean mwanaume akishakula hataki kufuatanax2 tena? Unakuwa ndo mwisho wa mchezo sio, hii kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…