Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,834
- 155,782
Hii ni miongoni mwa biashara kongwe kabisa duniani.
Je kwanini wanaume wanawafuata machangudoa?
Je kwanini wanaume wanawafuata machangudoa?
mambo vp, preta,lizy
kashehe ukitoka huko, ukifika hm wife anataka tena kwa speed ya one twnty, na huko unakuwa umekula kwa uroho hzo mbga
mbona unabagua? wote madem wenzio haooooo. nirushe na mm basi...
Changuz wana 'spesho service' ambayo huwezi kuiomba nyumbani
Hii ni miongoni mwa biashara kongwe kabisa duniani.
Je kwanini wanaume wanawafuata machangudoa?
Utafanyeje ukiwa na migogoro na mkeo, miezi minne mfululizo kakunyima unyumba?
unabadilisha mboga kidogo
Changuz wana 'spesho service' ambayo huwezi kuiomba nyumbani
ni garama nafuu alafu awana kufatanafatana yani ni voda fasta unalpa unapewa huduma akuna kuremba
mweee.....hata wewe ni shosti?