Uchambuzi wangu kuhusu vituo vya redio vya Mwanza

Uchambuzi wangu kuhusu vituo vya redio vya Mwanza

Tatizo za radio za mwanza hazifik mbali radio gan zinashika wilaya moja au mbili kwa mfano jembe FM radio inashika wilaya ya nyamagana peke Yake, kuna radio nyingine inaitwa radio Sengelema nayo inashika sengelema pekee
Sengerema
 
Katika Radio ninayoumia "kufwafwanzika" kwake hapa Tanzania ni Kiss FM hii radio ilikuwa kweli inafaa kusikilizwa na Wanaume lakini toka ilivyoanza kutumia na Lugha ya Kiswahili ndio ikafa kibudu hadi Leo sijui kama ipo maana Iringa huu mwaka wa 3 haipatikani.
eti kufwafwanzika hahahahaaa umetisha vakukaye
 
Back
Top Bottom