Uchama unaua Utaifa

Uchama unaua Utaifa

Chepii

Senior Member
Joined
Mar 7, 2011
Posts
101
Reaction score
14
Habari wana jukwaa,

Watanzania tumeushinda ukabila tumeshindwa na uchama yaani Januari mpaka Januari kazi ni kukipigia makofi chama chako ukienda kwenye mkutano wa chama chako unasikiliza tu aulizi maswali hata kama unachoambiwa hakikuingii akilini hakina faida kwa jamii.

Tunawashabikia watu mpaka wanatudharau Hebu tubadilikeni jamani tuwape changamoto wanasiasa tunaowapenda pale wanapo ongea au kufanya makosa itakua faida kwa taifa.

Tuyape kipaumbele maslahi ya taifa bila kujali itikadi za vyama kama wafanyavyo mataifa yalio endelea ukiona jambo zuri linafanywa na chama tofauti na chako waunge mkono.

Ukiona jambo baya linafanywa na chama chako wapinge hakika tutalifikisha Taifa letu mahali tanapopataka wenyewe na hatahapa tulipo tumejifikisha wenyewe .

Haiwezekani watu wengi wenye akili kuongozwa na wachache wasiona akili au wanaakili lakini wanazitumia vibaya ili kujinufaisha kwamfano kuingia mikataba mibovu au kusamehe kodi makampuni makubwa na kupandisha kodi kwa wananchi.

Mwl Nyerere alisema mtu mwenye akili akikupa ushauri wakijinga ukiufuata atakucheka ukiupuuza atakuogopa.

Asanteni
 
Hakika kama Taifa kuna magonjwa makuu matatu ya msingi nayo Uchama, Rushwa na Ufisadi-aka umimi.Hili lako ulilolisemea ni baya sana.Ubaya wa hili la Uchama,ni kuwa chama kama kikundi cha watu wenye malengo Fulani, unaweza yumbisha malengo ya Msingi ya Taifa endapo chama husika akiendi kwenye mstari kulingana na mkataba wake na Umma [Yani Taifa].

Uchama umefanya Taifa lisimame na mambo mengi kwenye Taifa yaende ndivyo sivyo na kwa kuwa wasimamizi wa kuu kwenye Taifa kofia iliyowaweka wakae kwenye dhamana ya Uongozi wa Taifa ni kofia ya chama, basi mambo mengi yanayotendwa na yeyote aliye ndani ya chama yakiwa na sura ya kubomoa Utaifa hayana mdhibiti na hivyo kupewa fursa ya kumea kwa tiketi ya Mwenzetu huyu , au ndugu yetu huyu.Ufisadi umetamalaki kwa sababu ya uchama, rushwa imejijenga kwa sababu ya uchama.

Walinzi wa Utaifa baadhi wamegeuka kuwa walinzi wa Uchama.Upofu umekwenda hata kwa wenye weredi wa usomi wa dalasani [Academicians] nao akisha simama kwenye chama HAONI tena Ukweli [REALITY] na kushauri mabaya kwa faida ya kulinda Uchama [Kikundi] na kukwepa dhamana ya kuona mambo kwa jicho la UTAIFA.Keki ya Taifa imegawanywa kwa kuangalia nani anastahiki kupewa keki fulani kwa kuwa ni wa chama fulani-neno upinzani [Kwa lugha ya wenzetu Opposition maana ya opposite yani kinyume] limebeba tafsiri HASI kwenye jamii.Viongozi wa vyama wamepandikiza tafsiri hasi vichwani mwa Wananchi wenye uanachama wa vyama vya kisiasa,uchama umevaa kofia ya Utaifa kwenye maamuzi magumu ya Taifa,wakati Utaifa ulipaswa kumeza Uchama.

Leo walinzi wa Taifa wanaumiza vichwa hatima ya Taifa, wakati kama kweli Mlinzi wa Taifa angekuwa havai Kofia ya Chama hakika vuguvugu ili ambalo liko mikononi mwa Wananchi kuhusu ukuu wa chama kutamalaki ukuu wa Taifa basi wananchi wasingekuwa na jaka moyo la Rushwa wala Ufisadi...iwe vipi hata kama walinzi wa Nchi wanasema hayo yanayopita kwenye Rushwa ni michezo ya kutungwa..basi ndio kusema mtungaji awajengi Wananchi kuichukia rushwa bali anajenga wanachi kuipenda rushwa kwa kuwa wale wanao kuwa wanahusishwa kwenye michezo hiyo hupata kukimbia mkono wa sheria kwa kofia ya uchama.Na matokeo ya viongozi hao kupata huruma ya uchama kwenye vyombo vya sheria Wananchi uanza pole pole kuona kuwa ukiiba kingi cha umma, ufungwi na ukiiba jenga ukaribu na uchama utoshughulikiwa na yeyote yule.

Uchama umeondoa uzalendo kwa Umma,leo hii kila raia yuko tayari kusifia uovu, wizi, uongo, rushwa, uzandiki, uchonganishi na mengineyo mengi kwa kuwa mtendaji wa tendo husika ni mwenzake kwenye chama chake.Yani liliotendwa na mhusika binafsi ugeuzwa kuwa mtendaji kasingiziwa na wabaya wa chama chake.Kwa kuwa Chama kimevaa kofia ya Utaifa basi wenye dhama ya kidola uwashambulia waliosimama kusema au kekemea mtendaji mwenye haiba ya uchama.Ila natumaini bado Taifa lina watu makini makosa yaliyofanywa siku za nyuma HAKIKA wamejifunza kuwa waliona HAYAWAHUSU wakae mbali, laini wamefika sehemu wameona mambo hayo yanawahusu kama ya KIDOLE na jicho.

Ni muda mwafaka kutenganisha chama na siasa na pia kuwatoa nje wote wenye tabia za kimakundi katika mfumo wa uongozi wa KITAIFA.Taifa linapokuwa na watu wenye tabia ya mfumo wa kimakundi, iwe rafiki, kichama, uswahiba au undugu kwa hulka ya kibinadamu kama mtu amajijenga kupitia kutegemea watu, ndio kusema siku wakitofautiana na wenzie hao basi malengo yaliyotafutwa kwa mfumo wa kijikundi na si kuzingatia maono [Vision] za wahusika mmoja mmoja ila kwa dhamana ya chama umoja kuunda ujumla wao na kutoa vision moja na sio vision ya kikundi cha watu, YANAPOTEA na kukosa DIRA ya kuyafikisha walikotarajia.Ni wakati murua sasa Wanautaifa kutoa maono ya ujenzi wa Taifa kwa kofia ya TAIFA sio Uchama...na kofia ya Kiongozi mkuu wa Taifa imkae mtu ambae watu wote wenye vyama CCM, CDM,CUF NCCR na wasio vyama wakimuona kakaa kwenye KITI CHA URAIS wanajiona wote wanamkubali kweli huyu ni kiongozi wa TAIFAna si kiongozi wa genge.

Na ndio maana kwa nchi za wenzetu yule ambae uteuliwa na chama huwa sio ndio yule kiongozi mkuu wa chama, bali mteuliwa uwa ni yule ambae uwa pia MTAIFA na WANAUTAIFA bila kujali ITIKADI zao za kivyama UAMINI PIA mteuliwa huyo kwenye chama husika INAPOFIKA KWENYE MASWALA YANAYO HUSU UTAIFA CHAMA CHAKE HAKINA NAFASI.Leo hii kuna Wananchama wanadiliki kushangilia kwa kusema akiingia kiongozi fulani chama FULANI kitakufa au mtu fulani atatafuta pa kwenda ...binafsi uwa najiskia vibaya sana na tena sana.Yana nafasi kuu ya Utakatifu [URAIS] apewe mtu mwenye dhamira ya kwenda kulipa visasi kwa kuwa tu alipingwa na fulani au alikataliwa na fulani kisa si Mwenzao bais hiyo ni laana kubwa tena mno.
UTAIFA KWANZA
 
"…….and so we are worse than fools; before any election they seduce and manipulate us politically; we are patsy before them…….; we've become cowardice in there face ………..." these is called political seduction//utongozwaji wa kisiasa
 
Tukivitumia vyama vya siasa kwaakili kama tunavyo yatumia maduka tutafanikiwa kwamfano duka A linauza sim C elf 50 duka B ambalo nilandugu yangu anaiza sim hiyo hiyo sh elf 80 hakika nitaenda kununua duka A japokua hatujuani. Basi na kwenye siasa tusimwangalie nyani usoni. Tuhakikishe ahadi zinatekelezwa.Maslai ya taifa tuyape kipaombele wenzetu wakenya pamoja na ukabila wao wanajali maslai ya taifalao kuliko sisi watz tunaimba nyimbo nyingi kwa wakati mmoja na kunyamaza punde.Nyumba ikiliwa na mchwa alaumiwe mchwa au achekwe mwenye nyumba!
 
Hakika kama Taifa kuna magonjwa makuu matatu ya msingi nayo Uchama, Rushwa na Ufisadi-aka umimi.Hili lako ulilolisemea ni baya sana.Ubaya wa hili la Uchama,ni kuwa chama kama kikundi cha watu wenye malengo Fulani, unaweza yumbisha malengo ya Msingi ya Taifa endapo chama husika akiendi kwenye mstari kulingana na mkataba wake na Umma [Yani Taifa].

Uchama umefanya Taifa lisimame na mambo mengi kwenye Taifa yaende ndivyo sivyo na kwa kuwa wasimamizi wa kuu kwenye Taifa kofia iliyowaweka wakae kwenye dhamana ya Uongozi wa Taifa ni kofia ya chama, basi mambo mengi yanayotendwa na yeyote aliye ndani ya chama yakiwa na sura ya kubomoa Utaifa hayana mdhibiti na hivyo kupewa fursa ya kumea kwa tiketi ya Mwenzetu huyu , au ndugu yetu huyu.Ufisadi umetamalaki kwa sababu ya uchama, rushwa imejijenga kwa sababu ya uchama.

Walinzi wa Utaifa baadhi wamegeuka kuwa walinzi wa Uchama.Upofu umekwenda hata kwa wenye weredi wa usomi wa dalasani [Academicians] nao akisha simama kwenye chama HAONI tena Ukweli [REALITY] na kushauri mabaya kwa faida ya kulinda Uchama [Kikundi] na kukwepa dhamana ya kuona mambo kwa jicho la UTAIFA.Keki ya Taifa imegawanywa kwa kuangalia nani anastahiki kupewa keki fulani kwa kuwa ni wa chama fulani-neno upinzani [Kwa lugha ya wenzetu Opposition maana ya opposite yani kinyume] limebeba tafsiri HASI kwenye jamii.Viongozi wa vyama wamepandikiza tafsiri hasi vichwani mwa Wananchi wenye uanachama wa vyama vya kisiasa,uchama umevaa kofia ya Utaifa kwenye maamuzi magumu ya Taifa,wakati Utaifa ulipaswa kumeza Uchama.

Leo walinzi wa Taifa wanaumiza vichwa hatima ya Taifa, wakati kama kweli Mlinzi wa Taifa angekuwa havai Kofia ya Chama hakika vuguvugu ili ambalo liko mikononi mwa Wananchi kuhusu ukuu wa chama kutamalaki ukuu wa Taifa basi wananchi wasingekuwa na jaka moyo la Rushwa wala Ufisadi...iwe vipi hata kama walinzi wa Nchi wanasema hayo yanayopita kwenye Rushwa ni michezo ya kutungwa..basi ndio kusema mtungaji awajengi Wananchi kuichukia rushwa bali anajenga wanachi kuipenda rushwa kwa kuwa wale wanao kuwa wanahusishwa kwenye michezo hiyo hupata kukimbia mkono wa sheria kwa kofia ya uchama.Na matokeo ya viongozi hao kupata huruma ya uchama kwenye vyombo vya sheria Wananchi uanza pole pole kuona kuwa ukiiba kingi cha umma, ufungwi na ukiiba jenga ukaribu na uchama utoshughulikiwa na yeyote yule.

Uchama umeondoa uzalendo kwa Umma,leo hii kila raia yuko tayari kusifia uovu, wizi, uongo, rushwa, uzandiki, uchonganishi na mengineyo mengi kwa kuwa mtendaji wa tendo husika ni mwenzake kwenye chama chake.Yani liliotendwa na mhusika binafsi ugeuzwa kuwa mtendaji kasingiziwa na wabaya wa chama chake.Kwa kuwa Chama kimevaa kofia ya Utaifa basi wenye dhama ya kidola uwashambulia waliosimama kusema au kekemea mtendaji mwenye haiba ya uchama.Ila natumaini bado Taifa lina watu makini makosa yaliyofanywa siku za nyuma HAKIKA wamejifunza kuwa waliona HAYAWAHUSU wakae mbali, laini wamefika sehemu wameona mambo hayo yanawahusu kama ya KIDOLE na jicho.

Ni muda mwafaka kutenganisha chama na siasa na pia kuwatoa nje wote wenye tabia za kimakundi katika mfumo wa uongozi wa KITAIFA.Taifa linapokuwa na watu wenye tabia ya mfumo wa kimakundi, iwe rafiki, kichama, uswahiba au undugu kwa hulka ya kibinadamu kama mtu amajijenga kupitia kutegemea watu, ndio kusema siku wakitofautiana na wenzie hao basi malengo yaliyotafutwa kwa mfumo wa kijikundi na si kuzingatia maono [Vision] za wahusika mmoja mmoja ila kwa dhamana ya chama umoja kuunda ujumla wao na kutoa vision moja na sio vision ya kikundi cha watu, YANAPOTEA na kukosa DIRA ya kuyafikisha walikotarajia.Ni wakati murua sasa Wanautaifa kutoa maono ya ujenzi wa Taifa kwa kofia ya TAIFA sio Uchama...na kofia ya Kiongozi mkuu wa Taifa imkae mtu ambae watu wote wenye vyama CCM, CDM,CUF NCCR na wasio vyama wakimuona kakaa kwenye KITI CHA URAIS wanajiona wote wanamkubali kweli huyu ni kiongozi wa TAIFAna si kiongozi wa genge.

Na ndio maana kwa nchi za wenzetu yule ambae uteuliwa na chama huwa sio ndio yule kiongozi mkuu wa chama, bali mteuliwa uwa ni yule ambae uwa pia MTAIFA na WANAUTAIFA bila kujali ITIKADI zao za kivyama UAMINI PIA mteuliwa huyo kwenye chama husika INAPOFIKA KWENYE MASWALA YANAYO HUSU UTAIFA CHAMA CHAKE HAKINA NAFASI.Leo hii kuna Wananchama wanadiliki kushangilia kwa kusema akiingia kiongozi fulani chama FULANI kitakufa au mtu fulani atatafuta pa kwenda ...binafsi uwa najiskia vibaya sana na tena sana.Yana nafasi kuu ya Utakatifu [URAIS] apewe mtu mwenye dhamira ya kwenda kulipa visasi kwa kuwa tu alipingwa na fulani au alikataliwa na fulani kisa si Mwenzao bais hiyo ni laana kubwa tena mno.
UTAIFA KWANZA

Mkuu DSN,barikiwa sana wewe,umeandika hasa mambo yanayotokea katika TZ yetu.
 
Maisha ndani ya chama yanakutaka utumikie chama kwanza then utumikie wananchi
Huwez kutumikia ukoo kama familia yako imekushinda
Wanasiasa wanatenda kaz Kwa itikadi za chama ili ziwanufaishe wananchi, but kutetea maslahi ya chama Kwa faida Za chama mbele ya taifa si sahihi
Uzalendo unajengwa Kwa watu wenye itikadi moja Kwa maendeleo ya taifa
Uchama kama wa ccm na act sio wenye itikadi njema machon
 
Habari wana jukwaa,

Watanzania tumeushinda ukabila tumeshindwa na uchama yaani Januari mpaka Januari kazi ni kukipigia makofi chama chako ukienda kwenye mkutano wa chama chako unasikiliza tu aulizi maswali hata kama unachoambiwa hakikuingii akilini hakina faida kwa jamii.

Tunawashabikia watu mpaka wanatudharau Hebu tubadilikeni jamani tuwape changamoto wanasiasa tunaowapenda pale wanapo ongea au kufanya makosa itakua faida kwa taifa.

Tuyape kipaumbele maslahi ya taifa bila kujali itikadi za vyama kama wafanyavyo mataifa yalio endelea ukiona jambo zuri linafanywa na chama tofauti na chako waunge mkono.

Ukiona jambo baya linafanywa na chama chako wapinge hakika tutalifikisha Taifa letu mahali tanapopataka wenyewe na hatahapa tulipo tumejifikisha wenyewe .

Haiwezekani watu wengi wenye akili kuongozwa na wachache wasiona akili au wanaakili lakini wanazitumia vibaya ili kujinufaisha kwamfano kuingia mikataba mibovu au kusamehe kodi makampuni makubwa na kupandisha kodi kwa wananchi.

Mwl Nyerere alisema mtu mwenye akili akikupa ushauri wakijinga ukiufuata atakucheka ukiupuuza atakuogopa.

Asanteni

Chepii Na u-Mimi je?

Hatuchagui Mtu Tunachagua SERA ZA CHAMA HICHO; Kama wewe Unapenda Tuchague Mtu huo ni U DICTATOR

Ndio Maana Mtu yoyote anapaswa kujiunga na kundi la ITIKADI aipendayo na sio vice versa - Wananchi kumfuata Mtu Mmoja ina Maana akipata ajali ndio Mwisho wa kumfuata huyo kiongozi?

Mfano mzuri Kenya wana umimi kwahiyo Makabila Madogo yamesahau kugombea Uraisi ni nini ?
 
Sikumaanisha wakenya wapo sahihi sana bali wanatushinda kuna mambo yakitaifa huwa wanaweka tofauti zao pembeni. pili mimi sipo hapa kwa maslahi ya mtu au kikundi flani pia maoni yangu ni sahihi mbeleyangu lakini kwako yanaweza yasiwe sahihi
 
Sijawahi kuona U MIMI kwenye NCHI yenye DEMOKRASIA ya kweli... Angalia INDIA their Democracy is very strong... hapo hapo kuna familia zenye majina na nguvu for decade... lakini hata siku moja wakienda kwenye BALLOT BOX sera ndizo zinazochagua Mwakilishi... India wako zaidi ya Billion 1. Lakini hata siku Moja hao Matajiri Makabila Makubwa hawachukui Madaraka... Wananchi wao wanaangalia ITIKADi za chama na kukichagua...

Wewe Unaongelea in GENERAL haunipi Mifano ambayo imewezekana kwa kufuata hayo Mapendekezo yako...

Tunaongelea Demokrasia wewe sasa unageukia kuwa hauko kwa Maslahi ya Mtu au kikundi... BUT PLEASE PROVE your POINT kama hayo unayoyasema yalisha wezekana DUNIANI?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom