Uchakavu wa basi za shule

Uchakavu wa basi za shule

SOKONOYI

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
237
Reaction score
222
Ndugu zangu watanzania poleni na hongereni kwa pilika pilika za msimu wa sikukuu!
Nimekuwa na kero ya muda mrefu kuhusu hizi school bus wanazopanda watoto wetu.
Kuna baadhi ya shule ambazo wanafunzi hubebwa kwa bus na hizo bus nyingi hazina hadhi ya kubeba watoto kwasababu ya ubovu na uchakavu.

Tupo kwenye kipindi ambacho watoto wetu wanafungua shule, tuwalinde na kuhakikisha hawapandishwi magari mabovu.
downloadfile-3.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli ni chakavu Ila sio kama ulizoweka kwenye picha
 
Bus za shule ni lazima ziwe za rangi ya yellow.
 
Back
Top Bottom