Uchakachuaji Dar es Salaam (UDA) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchakachuaji Dar es Salaam (UDA)

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mmakonde, Aug 14, 2011.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2011
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kwa sisi old skool tunakumbuka IKARUS buses hapa DSM under Usafiri Dar Es Salaam.
  Tukumbuke model hii ya transport ,wakati huo ndio iliyopo miji mikuu ya civilised countries.

  Huwezi kuwa na transport system ya jiji,ambapo kila mtu anaweza kuweka gari jijini kuwa daladala.

  Wengi mliofika London kuna company (listed) ambazo zinaendesha huduma hizi,sio watu binafsi!Hata kama wewe ni milionea kiasi gani ,huwezi kupata leseni ya kuendesha gari jijini.Daladala kama Matatu Kenya is the worst of disorganised transport.

  UDA ya zamani ilitakiwa iwe listed kwenye DAR Stock Exchange,watu wanunue shares,halafu watu wenye uzoefu wa kuendesha PUBLIC TRANSPORT ,i dont care hawa mediocre wazawa(Idd Simba,Kisena &Co),hata kama WAZUNGU kutoka nchi yoyote ambayo inauzoefu wa kuwa na public transport ku run shirika hili kwa muda.

  For Gods sake hawa akina Masaburi,Kisena na Idd Simba wana ubavu gani kuchakachua hivi?Wako wapi Wazee wenye uchungu na nchi hii
  kuwakemea hawa vilaza?

  I CRY FOR My beloved Tanganyika
   
Loading...