Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,807
- 34,193
Wenyewe wanasema Warabu wa Pemba hujuana kwa vilemba.Waswahili wapemba hujuana kwa vilemba........!!!
Asante kwa kunisahihisha mkuu!!Wenyewe wanasema Warabu wa Pemba hujuana kwa vilemba.
Ubinafsi wake ni upi? wakati yeye amewekwa na chama tawala awakilishe Zanzibar?Mbinafsi sana huyo jamaa
Tambo na kejeli anazotoa zinaonyesha ni MTU wa aina ganiUbinafsi wake ni upi? wakati yeye amewekwa na chama tawala awakilishe Zanzibar?