Uchaguzi Zanzibar: NAITABIRIA CCM USHINDI WA 60%

Uchaguzi Zanzibar: NAITABIRIA CCM USHINDI WA 60%

Status
Not open for further replies.
Sio 60% bali ni 95%. Cuf hawapigi kura sasa hapo Kuna nini Fela?
 
Kutokana na wazenji wengi kuamasika na kaulimbiu ya "Hapa kazi tuu "
nidhahiri ccm itaibuka kidedea.
Wengi mnaweza kunipinga lakini
Kubali kataa kwa ccm Magufuli ni madini . Magufuli kaifanya ccm ipendwe mnoooo.

Fanya asilimia mia kabisa...
 
Anashindana na vyama kumi ambavyo havikupata hata asilimia moja ya kura zote za tarehe 25
hivi vyama ndio wanajiita umoja wa rufaa ya wananchi, kichekesho kikubwa yaani vyama havina hata mbunge mmoja vingine hata diwani havina sasa sijui ni wananchi gani hao vinazungumzia
 
Mtoa mada naomba uwaongeze tu na hizo 40% ili zikamilike 100% kabsaa si wanataka kushinda kwanini uwapunje?
 
Tangazo tangazo
Ccm znz wanafanya sensa ya wafuasi wao..mnaombwa mutulie majumbani ili wapate hesabu sahihi
 
Kutokana na wazenji wengi kuamasika na kaulimbiu ya "Hapa kazi tuu "
nidhahiri ccm itaibuka kidedea.
Wengi mnaweza kunipinga lakini
Kubali kataa kwa ccm Magufuli ni madini . Magufuli kaifanya ccm ipendwe mnoooo.
Mimi Nafikiri Ungewatabiria ushindi wa 100% Kwani si wanagombea wao wenyewe, Na Vyama ambavyo Ni Vikaragosi (stooges) wa CCM? Na wala Sii Kuwa wanagombea bali ni Uchaguzi Danganya Toto, Lugha sahihi ni Kusema "Wizi" wa Marudio sio Uchaguzi!
 
CCM mlivyo wanafiki mtakuja na haya matokeo; Shein 51.3% Maalim Seif 47.6% then zilizobaki watazigawa kwa wengine. Na watasema uchaguzi ulikuwa mgumu kuliko walivyotarajia! Wakati huo huo Pemba wananchi wengi hawakujitokeza kupiga kura!
 
watampa kura zote hana mshindani, mpinzani wake alishajitoa. Uchaguzi huu ni wa kuhalalisha ushindi tu
 
huyo magufuli alishasema ya zenji hayamuhusu sasa watahamasika vipi wakati magufuli mambo ya zenji hayamuhusu
 
Hahaha sasa unaeahakkshia ushnd kwan wanashndana na nan.
 
Kutokana na wazenji wengi kuamasika na kaulimbiu ya "Hapa kazi tuu "
nidhahiri ccm itaibuka kidedea.
Wengi mnaweza kunipinga lakini
Kubali kataa kwa ccm Magufuli ni madini . Magufuli kaifanya ccm ipendwe mnoooo.
Upo wapi wewe, hapa kazi huku haijawa applied, labda ina load, watapata 100 asilimia kwani wengi naona wametulia majumbani, hivyo wapigaji ni wao dhahiri asilimia sio 60 ni ni 100%, hiyo 60 umekosea
 
Kutokana na wazenji wengi kuamasika na kaulimbiu ya "Hapa kazi tuu "
nidhahiri ccm itaibuka kidedea.
Wengi mnaweza kunipinga lakini
Kubali kataa kwa ccm Magufuli ni madini . Magufuli kaifanya ccm ipendwe mnoooo.
Isiposhinda kwa %100 itakua fedheha make ni CCM inashindana na CCM.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom