Bakari Malima kwanini hakuomba uenyekiti ?Orodha ya majina ya wanayanga wanao wania nafasi mbali mbali za uongozi katika klabu ya Yanga yawekwa wazi leo hivi leo.
View attachment 353862
Serikali yenyewe inampigia magoti aachie coco beachYaani Manji mgombea pekee ! Hii miafrika ni mioga sana !
Kweli mkuu .Serikali yenyewe inampigia magoti aachie coco beach
hao wanaajiriwa....Hakuna mgombea ukatibu wala uhazini?
Power of Mpunga mkuuBakari Malima kwanini hakuomba uenyekiti ?
Orodha ya majina ya wanayanga wanao wania nafasi mbali mbali za uongozi katika klabu ya Yanga yawekwa wazi leo hivi leo.
View attachment 353862
Hapana. Wanamwogopa Hans PoppeHahahaaaah kwa hiyo wanamwogopa Manji.
na Sanga vipi?Yaani Manji mgombea pekee ! Hii miafrika ni mioga sana !
Hans Poppe kivip tena na yangaaa???Hapana. Wanamwogopa Hans Poppe
ukatibu ni nafasi yakuteuliwa mkuuHakuna mgombea ukatibu wala uhazini?
Una kauli za kibaguzi sana. Dunia ya leo maendeleo yoyote hayahitaji rangi. Kwanza hats Manji ni Mwafrika pia ila wa rangi tofauti. Kinachotakikana hapa ni fedha za kuendesha Club siyo rangi ya mtu. Tunahitaji mafanikio ndani ya Yanga siyo rangi za viongozi. Yanga ilikuwa na akina Kifukwe muda mrefu walifanikiwa nini kama siyo migogoro tu! Wacha kuturudusha nyuma na mawazo ya mgando ya kukumbatia uswahili wewe!Yaani Manji mgombea pekee ! Hii miafrika ni mioga sana !
Kwahiyo mnahitaji hela za Manji kuendeshea yanga ? Very poor !Una kauli za kibaguzi sana. Dunia ya leo maendeleo yoyote hayahitaji rangi. Kwanza hats Manji ni Mwafrika pia ila wa rangi tofauti. Kinachotakikana hapa ni fedha za kuendesha Club siyo rangi ya mtu. Tunahitaji mafanikio ndani ya Yanga siyo rangi za viongozi. Yanga ilikuwa na akina Kifukwe muda mrefu walifanikiwa nini kama siyo migogoro tu! Wacha kuturudusha nyuma na mawazo ya mgando ya kukumbatia uswahili wewe!