Uchaguzi wa vijana wa chadema.

siku ikifika

New Member
Feb 27, 2011
2
0
Wadau.
naomba mnisaidie tarehe ya uchaguzi wa vijana wa chadema unafanyika lini? Ni uchaguzi muhimu sana. tume-miss sarakasi za vijana wa chadema.
 
Ni swali zuri hilo muungwana.wengine sisi ni wanachama waaminifu wa chadema.hivyo tunataka kushiriki kikamilifu ktk uchaguzi huo.mwenye taarifa uhakika na atujuze.
 
siku ikifika

Junior Member

Join Date : 27th February 2011
Posts : 1
Thanks
0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 0
 
Wadau.
naomba mnisaidie tarehe ya uchaguzi wa vijana wa chadema unafanyika lini? Ni uchaguzi muhimu sana. tume-miss sarakasi za vijana wa chadema.

Una maanisha uchaguzi wa viongozi wa vijana wa chadema au uchaguzi wa waruka sarakasi wa chadema?
 
Back
Top Bottom