Mie naweza sema kuwa kati ya wote hapo grayson anafaa kuwa mwenyekiti wa vijana wa CDM bavicha ,henche ni mhuni ndiyo yeye wakishirikiana na kafulila by then waliharibu uchaguzi uliopita kwa kuongeza idadi ya kura na kutaka kupigana hawatufai, grayson ni kijana msomi asiye na makundi ndani ya chama na ni kijana msomi mwenye taaluma ya udaktari.
Mbunge wa Mbozi bwana silinde yeye kwa sasa ningemshauri hizo nafasi awaachie vijana yeye ameshavuka hiyo level ajikite kuwatumikia wapiga kura wake na kujenga mtandao mkuu wa chama jimboni na mkoa mzima wa mbeya yeye kama mbunge awaachie maunderground wafanye hiyo kazi
mwenyekiti wa wanawake nani?anatokea wapi?mbona una mambo ya ajab,mnyika alitokea kilimanjaro,acha utoto,Viini macho tu. Mwenyekiti lazima awe mwenyeji wa Kilimanjaro kama ilivyo kwa mwenyekiti Taifa na mwenyekiti wa akina mama.
Sasa yupi hapo anatokea kilimanjaro?

Huyo RED CV yake ikoje, Taarifa za kiinteligencia zikamiliswe. Tunahitaji CV za huyu.:juggle:
Sioni kama hawajamaa wananafasi kwa ujumla wao hasa habibu mchange ambaye nguvu yake ni zitto kabwe peke yake. Zitto ambaye naye ameshaanza kuchuja kisiasa kwa kasi kubwa. Nimesikia toka rafiki yangu wa karibu kuwa christopher andendekisye ambaye alikuwa rais wa chuo kikuu cha dar es salaam ( 2004 - 2005) ametangaza nia. Kama ndivyo, nadhani wengine wote wasahau. Labda mp silinde atachuana naye sana.
Thanks.
mwenyekiti wa wanawake nani?anatokea wapi?mbona una mambo ya ajab,mnyika alitokea kilimanjaro,acha utoto,
Namfagilia Christopher andendekisye kama ametangaza nia yule kichwa na anajiweza sana Silinde naona yeye abaki kama Mbunge akiendelea kujenga jimbo lake
ina maana siku zote haujui kama Mnyika ni mpare wa same?...kama hulijui hilo basi usidanganywe na usukuma anaojipa huyo bwana mdogo...
M_SUSA
M_MNYIKA
M_MDEE
M_GONJA
M_RUTU
M_CHARO...................hayo ni majina ya koo kubwa za kipare mzee!!..
kama upareni siyo mkoa wa kilimanjaro basi nahama nchi.