Uchaguzi wa USA Leo

Hakuna English Expert hapa......mwagika unavyoweza......tutaelewa hivyo hivyo.......
 
Hakuna English Expert hapa......mwagika unavyoweza......tutaelewa hivyo hivyo.......
Sawa Mkuu nimekuelewa.

Nashangaa TZ mtu akikosea kwenye English anachukuliwa kama mtu aliyetenda makosa ya uhaini.

Hii Lugha inaasumbua hadi wajukuu wa Malkia, nimewahi kumshuhudia mwingereza anakiri kabisa kwamba lugha yao inawasumbua sana! hasa kwenye grammar.Kila kitu nikujifunza na kufanyia mazoezi.
 
Mara nyingi sisi tunakosa kujiamini......ukikosea inabidi urekebishwe...sasa unakuta wengine ndo wanaona kama kosa gani sijui kuuubwaaaa..........Tutaendelea kujifunza kupitia makosa.....Tuko pamoja ndugu.
 
Msingi mkuu wa Ubaguzi ni kule kujihisi Ubora na kujikweza dhidi ya wanadamu wenzie Sera ya Trump ya ubaguzi imejihidhirisha tuna safari ndefu ya kutokomeza dhana potofu ya ubaguzi wa aina yoyote Duniani ...Ushindi wa bi Clinton utakuwa ni ushindi kwa walimwengu wote wanaopinga dhuluma za kibaguzi za aina yoyote duniani ....ubaguzi ni sera mbovu zaidi dhidi ya mwanadamu wa karne hii
 
I just did my part! The count down starts right now!
 
Nyani ngabu

USA baby
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Tupe matokeo
 
Marekani ndo mshindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…