Uchaguzi wa Urais sio wa kukurupuka

Uchaguzi wa Urais sio wa kukurupuka

Joined
Jul 20, 2015
Posts
6
Reaction score
0
Binafsi bado naona tunaelekea kutoa nazi mbata na kuweka dafu.

Urais unahitaji hekima na busara sio oyaoya ya kutenda mambo kwa kukurupuka na kuonyeshea.
 
Kuwa straight dada mbona unasita sita sasa?
 
Back
Top Bottom