Uchaguzi wa Tanzania 2025 tunatiki kwa MISHANGAZI NA MIBABAZI? AU NI SINGLE MAZA NA SINGO DADY?πŸ€£πŸ˜†πŸ˜€ awa waweza kuwa pandikizi kweli.

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,937
Reaction score
10,815
Kampeni nchini Tanzania kinaendelea, Wagombea wote wananasi sera,

Sie wakina no reform no election kiongozi wetu yupo magerezani ananyea ndio.

Swali langu la msingi uchaguzi wetu wa MWAKA huu wagombea ni masingo maza na masingo Dady?

Sijaona mume au mke aliyembatana na mwenza hapo hata kwa salami Sasa hii Ina ashilia Nini kwa taifa?.
Hakuna umuhimu wa tendo la ndoa kwa wagombea wetu ndio maana hawajoa na KUOLEWA?
 
Nchi zinazonitambua, kutokuwa na mwanza tu au familia inayoeleweka ni kigezo mojawapo cha kutopewa kiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…