Poor Raila Odinga. How about the case? Supreme Court , Supreme..... Best wishes.
mtu yeyote ambabe anadhani jubilee waliiba kura napaswa aangalie matokeo haya ya leo. Jubilee walishinda kwa njia ilio wazi cord ni ma pumba tu
Asante sana Salva Rweyemamu kwa taarifa hiyo!!! Vipi Chichiemu inaweza kukubali hilo??Breaking News
Ekwe Ethuro received 28 votes against 29 votes received by Faraha Maalim. Thus Ekwe Ethuro has been elected speaker of senate of Kenya few ago. Ekwe Ethuro belongs to jubilee coalition.
Acha uchemfu bro! hivi kweli ina ingia akilini? mwenye vote 28 mshindi, mwenye 29 no? hii itakuwa kali ya mwaka aisee!