Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Joined
Nov 17, 2011
Posts
32
Reaction score
5
Katika uchaguzi wa tarehe 14 CCM kushinda kwa asilimia 80 kwa sababu uwezo wanao, sababu wanazo pia wagombea wao ni watu makini na wanaokubalika na jamii ya watu walio wengi tofauti na vyama pinzani.Tafiti iliyofanywa shirika la feed Africa ktk mitaa yote ya mkoa wa Arusha wasema ktk mitaa 153 UKAWA wanaweza kupata mitaa 10 tu.
 
Nasikia Arusha kuna jani mashuhuri sana , inawezekana huyu mkuu amewahi kuligida leo asubuhi subuhi kabla hajaweka kitu tumboni.
 
Nitawapigia wapinzani kura,
Naapa hata watu wangu wa karibu nitawaelimisha ili wachague vyama vya upinzani.
 
Tatizo waTZ hatujitambui hasa vijana. Tuamkeni jamani tuchague viongozi waadilifu na wawajibikaji!
 
Ngoja nianzishe kikundi changu cha utafiti na mimi kwani nimechoka na tafiti za watu wengine ambazo wanafanya bila analysis yote.
 
Hatuhitaji jina la chama tunahitaji kiongozi bora.nyie mnaosubiri makapi mmenoa
 
Tatizo la vijana wengi hawakujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura;
Tatizo waTZ hatujitambui hasa vijana. Tuamkeni jamani tuchague viongozi waadilifu na wawajibikaji!
 
Back
Top Bottom