Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa utafanyika lini kwa mujibu wa Katiba?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,958
141,951
Anayejua anijuze maana hali ni tete kwa mustakabali wa chama. Nauliza ili kama muda umekaribia tuanze siye wafia chama tuanze kudunduliza vihela vya kumchukulia fomu Joseph Mbilinyi aka Sugu aende kukipigania chama kinachozama kwa kasi. Nasubiri jibu, ahsante!
 
kifungu hicho:

6.3.3 Kurekebisha tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa Chama
(a) Tarehe ya uchaguzi mkuu wa Chama inaweza kurekebishwa kwa kusogezwa mbele kwa muda usiozidi mwaka mmoja toka mwisho wa uhalali wa uongozi uliopo.
(b) Mamlaka ya kufanya marekebisho haya yameachiwa Kamati Kuu
 
HII NI HATARI SANA KWA MUSTAKABALI WA KIDEMOKRASIA. HII NI KAMA JIWE KUTAKA KUSOGEZWA HATUA 2 MBELE ZIWE HATUA 7 BADALA YA HATUA 5
 
Back
Top Bottom