Uchaguzi wa mwaka 2015 tulipewa option mbili

Uchaguzi wa mwaka 2015 tulipewa option mbili

Huyo mwingine angepata wapi Pesa wakati pacha wake alishazikomba zote mpaka za hifadhi ya jamii?
 
Option ya kuchagua Ilibanwa.

Ilikuwa Ama kuchagua Mgombea wa CCM au kapi la CCM!
 
Uchaguzi huo ulitutaka sisi wananchi tuamue mambo makuu mawili ambayo ni;

1. Elimu bure hadi chuo kikuu

2. Elimu bure hadi kidato cha nne

Je, nani wa kulaumiwa?
Nahisi Harufu Ya Nyumbu Hapa, Yaani Unaambiwa Elimu Bure Kwa Kuweka Gesi Bondi - Kipindi Cha Mateja Walivyokuwa Wanachekelea Wakiambiwa Watapata Milo 3 Ndumu Mbaya
 
Back
Top Bottom