Uchaguzi wa Meya wa Jiji la DSM kufanyika 23.01.2016

Emma.

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
19,932
5,560
Heshima kwenu Wana JF.

Kumekucha tena uchaguzi wa kuchagua meya wa jiji la Dar es salaam utafanyika tarehe 23.01.2016 Wapiga kura jumla wapo 161 Wapiga kura wa CCM wapo 74 Wapiga kura wa UKAWA wapo 87 Mgombea umeya wa jiji la DSM kutoka CCM anaitwa Yusuph Yenga. Mgombea umeya wa jiji la DSM kutoka UKAWA anaitwa Isaya MWITA .Uchaguzi utafanyika pale Karimjee kuanzia saa tatu asubuhi mnakaribishwa wote bila kujali itikadi zenu za vyama.
 
Pamoja na kwamba najua ccm wataendeleza figisufigisu kama kawaida yao lakini watakalia mkwaju tuu!
 
Kwa namba hiyo UKAWA wameshashinda ile isije zikatokea figisufigisu kama za Tanga maana usaliti ni nje nje.
 
Mbinu zilizotumika kwenye uchaguzi wa kuchagua meya wa kinondoni na Ilala kwa kutumia kalamu zenye kamera ambazo zinasaidia kubaini mbinu chafu .Mbinu hiyo itatumika pia tarehe 23.01.2016
 
Heshima kwenu Wana JF.

Kumekucha tena uchaguzi wa kuchagua meya wa jiji la Dar es salaam utafanyika tarehe 23.01.2016 Wapiga kura jumla wapo 161 Wapiga kura wa CCM wapo 74 Wapiga kura wa UKAWA wapo 87 Mgombea umeya wa jiji la DSM kutoka CCM anaitwa Yusuph Yenga. Mgombea umeya wa jiji la DSM kutoka UKAWA anaitwa Isaya MWITA .Uchaguzi utafanyika pale Karimjee kuanzia saa tatu asubuhi mnakaribishwa wote bila kujali itikadi zenu za vyama.
Hilo jiji tayari lipo mikononi mwa wana ukawa,na taarifa hii ni mbaya sana kwa masaburi na wale woote waliyo shiriki kuiuza UDA
Cc lizaboni
Ritz
 
Mbinu zilizotumika kwenye uchaguzi wa kuchagua meya wa kinondoni na Ilala kwa kutumia kalamu zenye kamera ambazo zinasaidia kubaini mbinu chafu .Mbinu hiyo itatumika pia tarehe 23.01.2016
Masaburi ebu njooo huku watu wa ukawa wana kutakia matatizo hasa ya uda
 
Kama hao Ukawa watatumia tena zile kalamu 'sisi' tutasusia Uchaguzi na kutoka nje. Acha mwishoni watangaze tuu kura kuwa 'sisi' sifuri wao 87.
Potelea mbali.
 
hivi temeke ccm walikuwa na madiwani wangapi na ukawa wangapi, naombeni kujua jamani mnijuze wana jukwaa
 
Ingawa hesabu huwa hazidanganyi na kwa hesabu hizo za madiwani wa Ukawa vs CCM, ni dhahiri kama tayari Meya wa Jiji la Dar keshakuwa wa Ukawa.

Lakini kama tunavyowajua CCM, huwa hawaishiwi na mbinu za kufunga magoli ya mikono, kwa hiyo ni vyema Ukawa wasibweteke na hiyo idadi kubwa ya madiwani walionao ukilinganisha na wa mahasimu wao wa CCM, bali waendelee kudhibiti kila aina ya hila na mbinu za hao magamba ili wahakikishe kuwa historia inawekwa jijini Dar kwa kupata Meya wa kwanza toka vyama vya upinzani tokea nchi yetu ipate uhuru wake toka kwa mkoloni zaidi ya miaka 50 iliyopita.
 
Back
Top Bottom