Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,886
- 27,362
Mkuu kule media hazjivung kuchagua upande bhana...mfano washington post wao huwa wanaandika kabisa kuwa wasomaji wasimchague trump wamchague bmkubwaBaada ya kufuatilia kwa karibu pilika pilika za uchaguzi wa rais nchini Marekani in kwamba;
CNN inakidhi vigezo vyote vya kurefushwa na kuitwa Clinton News Network (CNN). Hii in kqa jinsi wanavyo ratibu mambo yao ili kuhakikisha by hooks or crooks Trump anataabishwa ili kumlainishia Clinton.
Kusema kweli CNN mwaka huu imeboa sana.
Zamani walikuwa na nafuu.
Lakini sasa hawana tofauti na FOX wala MSNBC.
Unless wewe umeanza kufuatilia chaguzi za Marekani mwaka huu, lakini newspaper endorsements wala si jambo geni wala ajabu.mwaka huu hadi USA today la leo wameandika on the front page sababu za kutokumchagua Trump. Na wao ni media ambayo inasifika kwa kuwa unbiased.
This is what denverpost said, "In its 34 years of existence, USA Today has had a no-endorsement policy."
Lakini see..my point is, sio CNN peke yao...
USA TODAY's Editorial Board: Trump is 'unfit for the presidency'
Unless wewe umeanza kufuatilia chaguzi za Marekani mwaka huu, lakini newspaper endorsements wama si jambo geni wala ajabu.
CNN hawajatoa endorsement yoyote ile lakini coverage yao iko biased waziwazi huku wakidanganya kuwa hawako biased.
Ulikuwa hujui kuwa Marekani magazeti makubwa hutoa endorsements?
Ni kweli ukiacha 2009 wakati Obama anaingia na sasa hivi sijawahi kufuatilia chaguzi za US.
Ni kweli pia kuwa media houses nyingi zilikuwa zimezoeleka kuwa na sides (endorsement) na hiyo CNN ni mojawapo ya channels ambazo hazikuwa na sides.
Lakini my point is; mwaka huu hata zile media houses ambazo hazikuwahi ku-take sides zime take sides..kama unavyoona kwa CNN na leo editorial board ya US Today kwa mara ya kwanza "since its inception in 1982" wameonesha bias. And infact hata wao hawajafanya exact kama endorsing ila wametoa maelezo ya kwa nini watu wasimchague Trump bila kusema wanamtaka/wame side kwa nani... [HASHTAG]#bias[/HASHTAG]
so, your assertion is wrong, and the fact remains: US TODAY - before today - HAD NEVER ENDORSED ANY PARTY NOR CANDIDATE SINCE ITS INCEPTION.
CNN has always been leaning towards supporting Dems
What did I assert and how is it wrong?Ni kweli ukiacha 2009 wakati Obama anaingia na sasa hivi sijawahi kufuatilia chaguzi za US.
Ni kweli pia kuwa media houses nyingi zilikuwa zimezoeleka kuwa na sides (endorsement) na hiyo CNN ni mojawapo ya channels ambazo hazikuwa na sides.
Lakini my point is; mwaka huu hata zile media houses ambazo hazikuwahi ku-take sides zime take sides..kama unavyoona kwa CNN na leo editorial board ya US Today kwa mara ya kwanza "since its inception in 1982" wameonesha bias. And infact hata wao hawajafanya exact kama endorsing ila wametoa maelezo ya kwa nini watu wasimchague Trump bila kusema wanamtaka/wame side kwa nani... [HASHTAG]#bias[/HASHTAG]
so, your assertion is wrong, and the fact remains: US TODAY - before today - HAD NEVER ENDORSED ANY PARTY NOR CANDIDATE SINCE ITS INCEPTION.
H.Clinton anabebwa kama YANGA!Baada ya kufuatilia kwa karibu pilika pilika za uchaguzi wa rais nchini Marekani in kwamba;
CNN inakidhi vigezo vyote vya kurefushwa na kuitwa CLINTON NEWS NETWORK (CNN). Hii ni kwa jinsi wanavyo ratibu mambo yao ili kuhakikisha by hooks or crooks Trump anataabishwa ili kumlainishia Clinton.