Uchaguzi wa CHADEMA Muheza 23/8/2014

Uchaguzi wa CHADEMA Muheza 23/8/2014

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
886
Reaction score
206
Habari wana jamvi,baada ya kuakhirishwa uchaguzi wa chadema muheza,leo kamati tendaji imekaa na kutoa taarifa kuwa uchaguzi utaendelea tarehe tajwa hapo juu hii ni kutokana na kifo cha mzee rashid mwengo ambe amezikwa jana,pia ikumbukwe kuwa mabaraza tayari wamechaguana nafasi zitakazo pigiwa kura ni (5),mwenyekiti(w),katibu(w),mwenezi(w),mwekahazina(w) na mjumbe wa mkutano mkuu taifa;all da best wote
 
Peleka uongo wako ufipa kule chadema haiwezi fanyauchaguzi Wa kidemokrasia sema uteuzi LAbda
 
Back
Top Bottom