Uchaguzi wa CCM Monduli ni lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi wa CCM Monduli ni lini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbavu za Mbwa, Sep 29, 2012.

 1. M

  Mbavu za Mbwa JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Nategemea watu wa Arusha/Monduli watakuwa wanalijua vizuri hili. Hivi uchaguzi wa CCM wilayani Monduli ni lini? Pia, vipi duru za kisiasa huko, nani anapewa nafasi kubwa ya kuwa MNEC wilayan Monduli?
   
 2. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ThReAd nA hIi? Haahaaaaaa. This. Is JF
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Naona kama wewe ndiye unapewa nafasi kubwa
   
Loading...