CDM chama Cha BRAINS.15 December 2022
LIVE UCHAGUZI WA BUNGE LA WANANCHI CHADEMA
Wagombea waelezea jinsi wanavyoweza kulitumikia Bunge la Wananchi la CHADEMA
Source: ZAMAMPYA TV
Katika hotuba yake Mwenyekiti wa Chadema amewatambulisha wabunge wa bunge la wananchi. Hi concept nimependa Sana. Hivyo inabidi chadema waifanyie kazi na kuanzisha hata vikao vyao.Nimependa concept ya CHADEMA ya Bunge la Wananchi
Katika hotuba yake Mwenyekiti wa Chadema amewatambulisha wabunge wa bunge la wananchi. Hi concept nimependa Sana. Hivyo inabidi chadema waifanyie kazi na kuanzisha hata vikao vyao. 1. Litakuwa na uwezo wa kujadili Mambo yanayo wagusa wananchi moja kwa moja. 2. Litakuwa na uwezo wa kukosoa...www.jamiiforums.com
1. Litakuwa na uwezo wa kujadili Mambo yanayo wagusa wananchi moja kwa moja.
2. Litakuwa na uwezo wa kukosoa serikali kwa uwazi.
3. Litakuwa na uwezo wa kuleta bajeti mbadala.
4. Litakuwa na uwezo wa kuishauri serikali kwa uwazi.
Nawapongeza chadema kwa ubunifu huu.
Unafikiri ni wazo la CHADEMA!?15 December 2022

15 December 2022

Wametumia katiba ya mwaka gani ya Chadema kuanzisha Bunge hilo? Wakifutiwa usajili wasilalamike tushawaasa!15 December 2022
LIVE UCHAGUZI WA BUNGE LA WANANCHI CHADEMA
Wagombea waelezea jinsi wanavyoweza kulitumikia Bunge la Wananchi la CHADEMA
Source: ZAMAMPYA TV
Katika hotuba yake Mwenyekiti wa Chadema amewatambulisha wabunge wa bunge la wananchi. Hi concept nimependa Sana. Hivyo inabidi chadema waifanyie kazi na kuanzisha hata vikao vyao.Nimependa concept ya CHADEMA ya Bunge la Wananchi
Katika hotuba yake Mwenyekiti wa Chadema amewatambulisha wabunge wa bunge la wananchi. Hi concept nimependa Sana. Hivyo inabidi chadema waifanyie kazi na kuanzisha hata vikao vyao. 1. Litakuwa na uwezo wa kujadili Mambo yanayo wagusa wananchi moja kwa moja. 2. Litakuwa na uwezo wa kukosoa...www.jamiiforums.com
1. Litakuwa na uwezo wa kujadili Mambo yanayo wagusa wananchi moja kwa moja.
2. Litakuwa na uwezo wa kukosoa serikali kwa uwazi.
3. Litakuwa na uwezo wa kuleta bajeti mbadala.
4. Litakuwa na uwezo wa kuishauri serikali kwa uwazi.
Nawapongeza chadema kwa ubunifu huu.
Bunge liwe Live
Uhaini ni upi? Vyuo vikuu tu kuna bunge na mawaziri mpaka Marais ndio sembuse chama kikubwa kama Chadema?Yaani CHADEMA viongozi wake ni zero brain...na ni form 4 na 6 failure...hivi mnajua mnachokifanya ni uhaini kwa nchi...?mnatumia katiba ipi?
Msajili wa vyama akikufutieni usajili msilalamike!!!
NB:MMEMDHARAU SANA MAMA ILA MAGU ANGEKUWEPO MSINGEFANYA HUO UJINGA
Great15 December 2022
LIVE UCHAGUZI WA BUNGE LA WANANCHI CHADEMA
Wagombea waelezea jinsi wanavyoweza kulitumikia Bunge la Wananchi la CHADEMA
Source: ZAMAMPYA TV
Katika hotuba yake Mwenyekiti wa Chadema amewatambulisha wabunge wa bunge la wananchi. Hi concept nimependa Sana. Hivyo inabidi chadema waifanyie kazi na kuanzisha hata vikao vyao.Nimependa concept ya CHADEMA ya Bunge la Wananchi
Katika hotuba yake Mwenyekiti wa Chadema amewatambulisha wabunge wa bunge la wananchi. Hi concept nimependa Sana. Hivyo inabidi chadema waifanyie kazi na kuanzisha hata vikao vyao. 1. Litakuwa na uwezo wa kujadili Mambo yanayo wagusa wananchi moja kwa moja. 2. Litakuwa na uwezo wa kukosoa...www.jamiiforums.com
1. Litakuwa na uwezo wa kujadili Mambo yanayo wagusa wananchi moja kwa moja.
2. Litakuwa na uwezo wa kukosoa serikali kwa uwazi.
3. Litakuwa na uwezo wa kuleta bajeti mbadala.
4. Litakuwa na uwezo wa kuishauri serikali kwa uwazi.
Nawapongeza chadema kwa ubunifu huu.
15 December 2022
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe azungumzia nafasi ya Bunge la Wananchi la CHADEMA
👍👍👍kila la kheriNawapongeza kwa kurasimisha concept ya bunge la wananchi ila sijapenda suala la Suzan Lyimo kuwa kiongozi Tena!!
Mtu ameshakua mbunge since 2010 akastaafu 2020 akakaribishwa Baraza la wazee how on earth anapewa active post??
Hili bunge ni kwa ajili ya active politics na liko kimkakati kwa wagombea wa Chadema 2025 waanze kuonekana mapema. So ni jambo jema watu kama Lumola na Shija kuibuliwa Leo ila sura zile zile kupewa Uspika sioni kama ni strategic kabisa na hapo tumefeli.
Na hii tabia haipo Chadema tu hata CCM, unakuta mtu ni waziri Bado anagombea ujumbe NEC wakati huo huo ni mbunge as if hakuna sura mpya!!
Iwekwe kanuni kwamba mtu mmoja kofia Moja haiwezekani Msigwa akawa mwenyekiti wa Kanda hapo hapo alikua mbunge hapo hapo ukute mjumbe wa kamati kuu!! Hapana waamue Moja na kingine waachie wengine nao wapate fursa ya kuonyesha uwezo wao.
Cc Erythrocyte Kalamu
Hii move ni nzuri sana. Ni wakati sasa chama tuwe na kituo chetu cha Redio na Tv15 December 2022