Uchaguzi wa Benin

Uchaguzi wa Benin

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
6,827
Reaction score
1,314
Wakati kinyang'anyiro kulekea uchaguzi mkuu wa Rais wa Benin utakaoshindanisha wagombea 14 hapo May 13 tayari kuna malalamiko kutoka kambi ya upinzani baada ya Rais aliyepo madarakani kuthibitishwa kushinda uchaguzi ambao haujafanyika!

Hii ndiyo afrika yetu!
 
Back
Top Bottom