Uchaguzi UVCCM, Anthony Mavunde atemwa!

Uchaguzi UVCCM, Anthony Mavunde atemwa!

Mahela yote aliyohonga chenge yamekwama,kweli ccm wameamua
 
MIRIJA IKATWE,

Kati ya waliopita Hakuna hata mmoja mwenye uzoefu ktk Jumuiya; ni wazi UVCCM inachimbiwa kaburi.

Si vizuri kuishi kwa mazoea kuna wakati ikilazimu unabadilika hivyo sidhani uliyosema yana tija. Subiri uone
 
Last edited by a moderator:
Hivi hizi chaguzi za CCM zina umuhimu gani hasa hadi ziwe zinapewa kipaumbele na uzito kiasi hicho? Naomba ufafanuzi tafadhali kwa anayeelewa.
 
Nimesafiri leo na jamaa mmoja alikuwa amekaa pembeni yangu kutoka Dodoma na basi la Mohamed Trans. Huyu jamaa alikuwa na Katiba ya CCM mfukoni kila mara alikuwa ana ongea na simu....maneno aliyo kuwa anasema. Mavunde amekatwa na kikao cha maadili . Jingine alikuwa anasubiri kwa matumaini kuwa vikao vya kamayi kuu na halmashauri kuu vinaweza kumrejesha ngoja waendelee kupigana. Jamaa alifika mbali kuna wakati alimjibu jamaa mwingine kwa simu kuwa CCM haitaki mabadiliko na kuwa mambo yote yanayofanywa sasa yana baraka zote za mwenyekiti kwani vikao vingi yeye ndo mwenyekiti na maaamuzi mengi ni ya kujuana na kubebana....jamaa anaishi kwa matumanini kweli kweli...sasa kwani asiachane na magamba na kujiunga na vijana wenzie....?????
 
Back
Top Bottom