johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,039
Ni haki yao ya kikatiba bwashee!Mkuu J, mbona mnakomalia sana swala la wabunge wa viti maalum ?!
Kunani nyuma ya pazia ???!
Dunia inaihitaji Tanzania kuliko Tanzania inavyoihitaji dunia!Tulieni tuwapige vikwazo kwanza
Dunia inaihitaji Tanzania kuliko Tanzania inavyoihitaji dunia!
Cement 35,000/-Ni haki yao ya kikatiba bwashee!
Mdee yuko Dodoma bwashee!Uchaguzi haukuwa huru na Haki.dola imepora. Chadema haitatao mtu yeyote kuingia bungeni kuhalalisha ushenzi na ufedhuli uliofanywa na CCM. MTAKULA JEURI YENU!
Ww n mjinga sana unafikil vikwazo vinaiathiri serikali peke ake ,,vikwazo vitakugusa mpaka wewe mshabiki wa huyo raia wa Belgium ,,ipende nchi ako ,,unafikil hata huyo Tundu akiw rais utafaidik nin ? FikiliaTulieni tuwapige vikwazo kwanza
Hahahahaha.....usinivunje mbavu mie!???Dunia inaihitaji Tanzania kuliko Tanzania inavyoihitaji dunia!
Wewe hapo unafaidika nini kwa kuwa na Magufuli?? Mjinga mkubwaWw n mjinga sana unafikil vikwazo vinaiathiri serikali peke ake ,,vikwazo vitakugusa mpaka wewe mshabiki wa huyo raia wa Belgium ,,ipende nchi ako ,,unafikil hata huyo Tundu akiw rais utafaidik nin ? Fikilia
Akili za kijinga sana unazo sasa unadhani Taifa linachafuka kiasi gani sababu yenu wasukuma mafala??Inasikitisha sana alipokuja watu waliandamana kwa bashasha za nguvu ni nyenye ni nyenye " leo kaondoka hakuna hata boda boda wa kumpigia honi kumuaga. Lisu hawa ndiyo Watanzania wamekuonyesha hakuna jipya chini ya jua.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Endelea kusubiri meli airport.Mdee yuko Dodoma bwashee!