johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,584
- 141,384
Hakuna tena sababu za malumbani kwani aliyekuwa mgombea urais wa CHADEMA mh Tundu Lisu amesharejea nyumbani kwake Ubelgiji ikiwa na ishara ya kutamatisha harakati zake.
CHADEMA watamshukuru sana Tundu Lisu kwa sababu amewawezesha kupata ruzuku na wabunge wa viti maalumu takribani 19
Kilichobaki wale wabunge wa viti maalumu wajiandae kula kiapo kabla Rais Magufuli hajafungua rasmi bunge.
Kazi na Iendelee
Maendeleo hayana vyama!