Uchaguzi uendelee kama ulivyopangwa

Uchaguzi uendelee kama ulivyopangwa

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,729
Reaction score
5,637
Tusijali kuhusu hawa electronic gangsters anaowasema Polepole.
Kwa sababu watu wanaichagua CCM kutokana na maendeleo wanayoyaona; barabara,hospitali shule.
Dosari ni kwamba Chadema hawajashirikishwa.
Serikali iwape ruzuku Chadema waingie katika Uchaguzi.
 
Umelipwa TSH. 7,000/= kuja kuandika haya.
 
Ndani ya saa moja una post zaidi ya tano,,ukiona hivyo dawa ya slow imekuingia
 
Tusijali kuhusu hawa electronic gangsters anaowasema Polepole.
Kwa sababu watu wanaichagua CCM kutokana na maendeleo wanayoyaona; barabara,hospitali shule.
Dosari ni kwamba Chadema hawajashirikishwa.
Serikali iwape ruzuku Chadema waingie katika Uchaguzi.
Hamna wajinga wa kudumu,na umoja wa uovu haudumu. Maendeleo yanaletwa na kodi zetu sio uwepo wa ccm madarakani.
 
Back
Top Bottom