Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
JAMANI UCHAGUZI NI MCHAKATO WENYE MICHAKATO MINGINE NDANI.NA HUWEZI TENGANISHA KIRAHISI HIVYO NA UKABAKI NA HICHO KIFURUCHI AU MFUMO.
Kwa mara ya kwanza naona hii nchi watu na hata watafsiri wa sheria wakifanya mizaha sana.Sasa uchaguzi ukiweka upiga kura halafu ukaondoa kusikiliza na kusubiri matokeo utabaki na kitu kinaitwa uchaguzi kweli?
Hembu mahakama zetu zitende haki, wanasiasa wetu waache upuuzi sasa. Hivi kweli watz wanhitaji kibali kingine tena cha nini ili kusubiri matokeo?Kibali kilichoruhusu watu kukusanyika ili kupiga kura kwanini kiiishe muda ktk kupiga kura wakati bado zoezi halijaisha?Hao mahakimu waulizwe kwa matokeo si sehemu ya uchaguzi na upigaji kura.Km sio basi hakuna haja ya mahakama kupoteza muda.
Hii sheria itakuwa ya hitufai kapisa km ndio sheria iliyoandikwa na kufikiriwa na serikali ya ccm?