Uchaguzi ngazi ya taifa kuna mpasuko

Uchaguzi ngazi ya taifa kuna mpasuko

Habari ambazo hazijatibitishwa ni kuwa kuna baadhi ya wanachama hawaridhishwi kwa kutaka kulazimisha mh Mbowe agombee tena wakati kuna malalamiko mengi juu yake.

Vilevile msajili wa vyama aliiandikia chadema na kutoa tahadhari juu ya waheshimiwa waliomaliza muda wao kun'gan'gania madaraka.

Pili ni uchaguzi ndani ya BAVICHA habari zinadai kuna mvutano mkali hadi baadhi wanadai inaweza kuipasua CHADEMA

mytake.
CHADEMA IJIFUNZE DEMOKRASIA KWA UHAI WAKE YENYEWE. UHAFIDHINA NI SUMU YA DEMOKRASIA

Wacha waapiga kura waamue kama mbowe au mwingine;
Mie nilitegemea Lumumba mtekeleze usemi wa "adui mwombee njaa" lakini mnakwenda kinyume kwa kuipigania CHADEMA, mna maslahi gani na chadema? Si muache chadema ichague viongozi wabovu ili nyie iwe rahisi kwenu kuendeleza ushindi?
Kweli Lumumba mnahangaika na chadema itaendelea kuwapagawisha.
Mbowe ziba masikio, Slaa fu ma macho, kachukue fomu muendelee kuwatesa magamba.
 
Habari ambazo hazijatibitishwa ni kuwa kuna baadhi ya wanachama hawaridhishwi kwa kutaka kulazimisha mh Mbowe agombee tena wakati kuna malalamiko mengi juu yake.

Vilevile msajili wa vyama aliiandikia chadema na kutoa tahadhari juu ya waheshimiwa waliomaliza muda wao kun'gan'gania madaraka.

Pili ni uchaguzi ndani ya BAVICHA habari zinadai kuna mvutano mkali hadi baadhi wanadai inaweza kuipasua CHADEMA

mytake.
CHADEMA IJIFUNZE DEMOKRASIA KWA UHAI WAKE YENYEWE. UHAFIDHINA NI SUMU YA DEMOKRASIA

cdm ikipasuka si ndio faida kwenu CCM na ACT sasa kinacho watoa jasho ni kitu gani? acheni cdm wafanye yao hata ikipasuka tuta iunga upya.
 
Habari ambazo hazijatibitishwa ni kuwa kuna baadhi ya wanachama hawaridhishwi kwa kutaka kulazimisha mh Mbowe agombee tena wakati kuna malalamiko mengi juu yake.

Vilevile msajili wa vyama aliiandikia chadema na kutoa tahadhari juu ya waheshimiwa waliomaliza muda wao kun'gan'gania madaraka.

Pili ni uchaguzi ndani ya BAVICHA habari zinadai kuna mvutano mkali hadi baadhi wanadai inaweza kuipasua CHADEMA

mytake.
CHADEMA IJIFUNZE DEMOKRASIA KWA UHAI WAKE YENYEWE. UHAFIDHINA NI SUMU YA DEMOKRASIA

Mkuu, nadhani wewe ndio utakuwa umepata mpasuko katika sehemu ya kutolea hewa chafu.
 
Habari ambazo hazijatibitishwa ni kuwa kuna baadhi ya wanachama hawaridhishwi kwa kutaka kulazimisha mh Mbowe agombee tena wakati kuna malalamiko mengi juu yake.

Vilevile msajili wa vyama aliiandikia chadema na kutoa tahadhari juu ya waheshimiwa waliomaliza muda wao kun'gan'gania madaraka.

Pili ni uchaguzi ndani ya BAVICHA habari zinadai kuna mvutano mkali hadi baadhi wanadai inaweza kuipasua CHADEMA

mytake.
CHADEMA IJIFUNZE DEMOKRASIA KWA UHAI WAKE YENYEWE. UHAFIDHINA NI SUMU YA DEMOKRASIA

Alokutuma mpe pole
 
Assadsyria ni Plato na amekuwa na siasa chafu na za maji taka!
 
Last edited by a moderator:
Habari ambazo hazijatibitishwa ni kuwa kuna baadhi ya wanachama hawaridhishwi kwa kutaka kulazimisha mh mbowe agombee tena waksti kuna malalamiko mengi juu yake.
Vilevile msajili wa vyama aliiandikia chadema na kutoa tahadhsr juu ya waheshimiwa waliomaliza muda wao kungangania madaraka.

Pili ni uchaguzi ndani ya bavicha habsri zinadai kuna mvutano mkali hadi baadhi wanadai inaweza kuipasua chadema

mytake.
CHADEMA IJIFUNZE DEMOKRASIA KWA UHAI WAKE YENYEWE. UHAFIDHINA NI SUMU YA DEMOKRASIA

CCM ilifanya lini uchaguzi wa mwenyekiti taifa?
 
Assadsyria ni Plato na amekuwa na siasa chafu na za maji taka!

Naona Magamba yamegeuka kuwa WAPIGA RAMLI, Hakika CDM inatisha mbaya kiasi kwamba lumumba hakukaliki.Wameanzisha genge lao wanaloita act lakini kadri muda unavyoenda wanaziti kupoteza matumaini huku likikomba mamilioni ya fedha na kuwafilisi.
 
Last edited by a moderator:
Habari ambazo hazijatibitishwa ni kuwa kuna baadhi ya wanachama hawaridhishwi kwa kutaka kulazimisha mh mbowe agombee tena waksti kuna malalamiko mengi juu yake.
Vilevile msajili wa vyama aliiandikia chadema na kutoa tahadhsr juu ya waheshimiwa waliomaliza muda wao kungangania madaraka.

Pili ni uchaguzi ndani ya bavicha habsri zinadai kuna mvutano mkali hadi baadhi wanadai inaweza kuipasua chadema

mytake.
CHADEMA IJIFUNZE DEMOKRASIA KWA UHAI WAKE YENYEWE. UHAFIDHINA NI SUMU YA DEMOKRASIA

Namna ya kutengeneza uongo siyo jambo la kufumba na kufumbua,ona sasa hapa uongo unajionyesha wazi kabisa
 
Ya chadema yanakuhusu nini boya wewe, na bado mbowe atakuwj mwenyekiti wa chadema, mpaka wanachama tutakapo amua wenyewe, kamanda apumzike baada yakutuvusha salama.
 
Magamba mmegeuka wapiga ramli kipindi hiki cha chaguzi za ndani ya cdm hadi mnatia huruma aisee.
 
Back
Top Bottom