Uchaguzi ngazi ya taifa kuna mpasuko

Uchaguzi ngazi ya taifa kuna mpasuko

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Habari ambazo hazijatibitishwa ni kuwa kuna baadhi ya wanachama hawaridhishwi kwa kutaka kulazimisha mh mbowe agombee tena waksti kuna malalamiko mengi juu yake.
Vilevile msajili wa vyama aliiandikia chadema na kutoa tahadhsr juu ya waheshimiwa waliomaliza muda wao kungangania madaraka.

Pili ni uchaguzi ndani ya bavicha habsri zinadai kuna mvutano mkali hadi baadhi wanadai inaweza kuipasua chadema

mytake.
CHADEMA IJIFUNZE DEMOKRASIA KWA UHAI WAKE YENYEWE. UHAFIDHINA NI SUMU YA DEMOKRASIA
 
Habari ambazo hazijatibitishwa ni kuwa kuna baadhi ya wanachama hawaridhishwi kwa kutaka kulazimisha mh Mbowe agombee tena wakati kuna malalamiko mengi juu yake.

Vilevile msajili wa vyama aliiandikia chadema na kutoa tahadhari juu ya waheshimiwa waliomaliza muda wao kun'gan'gania madaraka.

Pili ni uchaguzi ndani ya BAVICHA habari zinadai kuna mvutano mkali hadi baadhi wanadai inaweza kuipasua CHADEMA

mytake.
CHADEMA IJIFUNZE DEMOKRASIA KWA UHAI WAKE YENYEWE. UHAFIDHINA NI SUMU YA DEMOKRASIA
 
CCM mnatumia mbinu za kina madaraka sulemani aka 'mzee wa kiminyio'

propaganda za kizee hazina nafasi katika dunia ya leo
 
Hacha uongo wewe mweu!yakwako yamekushinda unaingilia ya jilan.weka picha tuone jins wanavyolalamika! Tutakuvisha sketi wewe!
 
Msajili anamsubiri mbowe kwa hamu ngoja tuone uo mpambano
 
Habari ambazo hazijatibitishwa ni kuwa kuna baadhi ya wanachama hawaridhishwi kwa kutaka kulazimisha mh mbowe agombee tena waksti kuna malalamiko mengi juu yake.
Vilevile msajili wa vyama aliiandikia chadema na kutoa tahadhsr juu ya waheshimiwa waliomaliza muda wao kungangania madaraka.

Pili ni uchaguzi ndani ya bavicha habsri zinadai kuna mvutano mkali hadi baadhi wanadai inaweza kuipasua chadema

mytake.
CHADEMA IJIFUNZE DEMOKRASIA KWA UHAI WAKE YENYEWE. UHAFIDHINA NI SUMU YA DEMOKRASIA

Wewe msemaji wa CHADEMA toka lini? Umbea unakusumbua.
 
Chadema is one and strong. So firmly should it be known.
 
Mbona umeandika kimahaba sana kama vile kuna mtu anakutekenya!
 
Weka picha tuone wanavyolalamika kama c umbea were mtoto wakiume
 
Habari ambazo hazijatibitishwa ni kuwa kuna baadhi ya wanachama hawaridhishwi kwa kutaka kulazimisha mh mbowe agombee tena waksti kuna malalamiko mengi juu yake.
Vilevile msajili wa vyama aliiandikia chadema na kutoa tahadhsr juu ya waheshimiwa waliomaliza muda wao kungangania madaraka.

Pili ni uchaguzi ndani ya bavicha habsri zinadai kuna mvutano mkali hadi baadhi wanadai inaweza kuipasua chadema

mytake.
CHADEMA IJIFUNZE DEMOKRASIA KWA UHAI WAKE YENYEWE. UHAFIDHINA NI SUMU YA DEMOKRASIA
Wewe leo hupati b7 maana kwa sasa tunazingatia kiwango cha propaganda ndiyo tutoe. Je,hujui kuna miongozo na katiba ndicho kinachokiongoza chama. Au na wewe ni yule msajili au wapambe wake wakina Kitila,Zitto, Mwigamba walioandaa na kupitisha katiba ya chama lakini kwa sasa wanaikana? . Rafiki yenu Kitila ndiyo mhusika mkuu kwenye katiba ya 2006 na viongozi wengine ndani ya chama lakini kwa sasa wanasema aaaaaaaaah!!! Siyo sisi, unafiki ni mbaya sana Duniani maana unaweza kukufanya ukane hata mawazo yako uliyoyatoa dakika 5 nyuma.
 
Tumewachoka MACCM nauchonganishi wenu,habari za kusema CDM kuna mipasuko zimeanza kusemwa leo na nyie MACCM? Mbali na hapo kwenye taasisi yoyote lazima kuwe na mitizamo mbali mbali,pilipili msiyoila yawawashia nn nyie MACCM?
 
Hao wanaolalamika wachukue fomu wapambane na mh. Mbowe. Wanachama wataamua. Hakuna haja ya kulalamikia pembeni kamwe.
 
Asante kwa taarifa MM2 vipi mnaendeleaje huko na mpango wenu wa kukieneza chama cha Kigoma..tena Mwandinga makao makuu...?
 
Wewe leo hupati b7 maana kwa sasa tunazingatia kiwango cha propaganda ndiyo tutoe. Je,hujui kuna miongozo na katiba ndicho kinachokiongoza chama. Au na wewe ni yule msajili au wapambe wake wakina Kitila,Zitto, Mwigamba walioandaa na kupitisha katiba ya chama lakini kwa sasa wanaikana? . Rafiki yenu Kitila ndiyo mhusika mkuu kwenye katiba ya 2006 na viongozi wengine ndani ya chama lakini kwa sasa wanasema aaaaaaaaah!!! Siyo sisi, unafiki ni mbaya sana Duniani maana unaweza kukufanya ukane hata mawazo yako uliyoyatoa dakika 5 nyuma.

karibu act mkuu
 
Back
Top Bottom