Uchaguzi Mwenyekiti Taifa CHADEMA Juni 29, 2014

Uchaguzi Mwenyekiti Taifa CHADEMA Juni 29, 2014

Sasa nataka kujuwa yeriko na ben uzito wao ndani ya chama uku je
Au ww ni kwenye mitandao tu ndio nguvu yao
Kuna mtu anaitwa MTOI yy kwao hata mjumbe hapati hoja zao ni kwenye fb na jf
 
Sasa nataka kujuwa yeriko na ben uzito wao ndani ya chama uku je
Au ww ni kwenye mitandao tu ndio nguvu yao
Kuna mtu anaitwa MTOI yy kwao hata mjumbe hapati hoja zao ni kwenye fb na jf

Kuna mtu kanitext hii asubuhi kwamba kwa nini najihuzisha na mijadala ya ACT huku JF inamaana sijui kama ni CULT GROUP. Nimekuona hapa nikaona nipate uthibitisho, au wanataka kuwachafua tu.
 
Sasa nataka kujuwa yeriko na ben uzito wao ndani ya chama uku je
Au ww ni kwenye mitandao tu ndio nguvu yao
Kuna mtu anaitwa MTOI yy kwao hata mjumbe hapati hoja zao ni kwenye fb na jf

mkuu. hawa jamaa yericko na ben kazi yao ni unafiki tu huku jf, na kutumika kwenye matukio ya kigaidi.. Kwenye mikutano ya Chadema hawajawahi kupewa hata nafasi ya kusalimia
 
Democracyni muhimu; kamati kuu tunaomba ratiba, mbona kimya?????????????????
 
Zimebaki siku mbili; uchaguzi
 
kutokana na hiyo taarifa inaonekana uchaguzi ulipaswa uwe ushafanyika kufikia June 2014 na kuhitimishwa na uchaguzi mkuu kabisa wa senior posts june 29,2014! mwenye updates watufahamishe huu uchaguzi umefikia wapi
 
Hata mbowe akistaafu yupo mh lissu.....huku mdee kama katibu msaidizi kule silinde km katibu mkuu...mnyika km katibu mwenezi pale kamati kuu itaongozwa na mbowe na dr!
 
Kesho uchaguzi .........................
 
Yametimi chadema; uchaguzi leo
 
Ni hatari sana kuingiza timu mpya chini ya mwaka mmoja kuelekea uchaguzi.Wasiwasi wangu ni ngazi za chini amabo wana changamoto nyingi.Ni heri kuusogeza uchaguzi huu hadi baada ya 2015,kama kweli Chadema wapo makini
 
Naona hii taarifa ni ya zamani na ilikuwa uchaguzi ufanyike jumapili hii lakini umeahirishwa hadi septemba kama sikosei.

Lakini chaguzi nyingine zote zikamilike ili tusonge mbele.

Na kwa chama makini kama CDM tumpate mkiti mwingine ili wapinzani wetu wajue kuwe viongozi wetu si vinganganizi!
 
Taarifa ya uchaguzi na ratiba nzima hiko wapi; mbona cuf wameweza ingawa ni kwa fitna viongozi robo karne; iweje chadema washindwe fitna kama za cuf kuwabakiza slaa na mbowe ili kutimika ratiba?????????
 
Wameuchuna kweli; cdm kiboko
 
Back
Top Bottom