Uchaguzi mkuu wa mwakani 2015

Uchaguzi mkuu wa mwakani 2015

kirumonjeta

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2008
Posts
3,966
Reaction score
1,968
Hebu wadau tukiangalie hiki kitu,nnapata wasiwasi kuwa isije kuwa pale kwenye bunge la KATIBA,hii mijamaa inayovuruga vikao kwa matusi na kejeli sababu kuu ni kupoteza muda ili hata serikali tatu zikipita itakuwa too late kuandaa katiba ya Tanganyika kabla ya uchaguzi kufanyika October 2015.Nahisi hii ni janja yao ili waendelee kutawala kwa kipindi kingine.Haya ni mawazo yangu tu,

MSALANI na wenzio msiharibu huu uzi tafadhali!!!
 
Back
Top Bottom