Uchaguzi Mkuu wa CCM 2012: Tumsapoti Lowassa

Uchaguzi Mkuu wa CCM 2012: Tumsapoti Lowassa

Lowassa hana wa kumzuia 2015,JK mwenyewe hawezi ndo maana anahangaika kila kukicha kumdhibit...
 
Kumfukuza mmeshindwa magamba mnabaki kumpamba na kumnadi,mpeni unyekiti huko huko kwenye magamba lakini urais hapati ng`oo!na kama hamhamini mwacheni agombee kwa tiketi ya magamba kisha tutaona kwenye matokeo.si mulisema hilo ni gamba ndani ya chama!mbona leo wanamagamba mnakuja mpya!mmechanganyikiwa hassa nyinyi....sijui mnahitakia nini tanzania.
 
Kwennnnnnnnnnye magamba huko ndio hakuna wa kkuzuia lakini kwa wananchi tunaweza kumzuia kama,nape,mkam na kikwete ndio wanamshindwa kwenye chama,kwani yeye ni malaika!ccm hukohuko na presha zenu za kumwogopa lowasa lakini sio sisi wananchi.
 
Lowasa hafai, lakini hata ex priest, ex ccm, ex husband w. Sila anaye hatufai
 
Kwa nini Lowassa anautaka uenyekiti kwa nguvu iliyojificha? Mbona kuna Makamu wenyeviti 2, kwa nini awe Lowassa? Kama mwenyekiti hayupo, makamu wake anachukuwa majukumu ya mwenyekiti. Nashindwa kuelewa ni kwa nini Lowassa awaruke hao wote makamu 2 wa mwenyekiti ili yeye awe mwenyekiti!!
 
Lowassa hana wa kumzuia 2015,JK mwenyewe hawezi ndo maana anahangaika kila kukicha kumdhibit...
Hivi nyie nani ana ratiba ya maisha yake na itakoma lini? Mungu anaweza kukomesha mbio zake na nyote mkashangaa kwa njia zifuatazo:1. Kukataliwa na wanadamu2. Yeye mwenyewe kujiuzuru siasa3. Ukichaa4. Ugonjwa mfano kiharusi5. Kuondoka dunianiMtu asijisifu kwa ajili ya kesho maana hajui na yatakayozaliwa na siku moja - Mithali 27:1Do not boast about tomorrow, for you do not know what a day may bring forth - Proverb 27:1
 
Kwa mujibu wa gazeti la Dira, toleo la leo kama kweli tunaitakia mema nchi yetu basi tumuunge mkono Lowassa, achukue uenyekiti wa chama taifa na JK abaki na urais wake.

After all tumeshaamua kutowavua magamba tena maana tumeona inatuletea taabu. Badala yake tumeamua kuwasafisha na kuwapa haki zote
 
ha ha ha, hizo ajenda za mkutano wenu zitapitishwa na nani? nani atampa form? kamati ipi itampitisha ili agombee hiyo nafasi? forget it my friend na hiyo Dira yako.

Kwa hali ilivyo hata mfanyaje LOWASA wenu hasafishiki malipo ya dowans ndio mwisho wake tunauchungu na mafisadi
 
Kwa mujibu wa gazeti la Dira, toleo la leo kama kweli tunaitakia mema nchi yetu basi tumuunge mkono Lowassa, achukue uenyekiti wa chama taifa na JK abaki na urais wake.
Why Lowassa??hivi ninyi watu mmerogwa???katika wanaCCM takriban 5Mil kama mlivyotuambia, ni Lowassa tu anayeweza kuwaongoza???hakuna msafi huko zaidi ya Lowassa???au hamwoni umuhimu wa mtu msafi katika mustakabali wa siasa za Tanzania na Taifa letu???ama kweli sikio la kufa halisikii dawa. Huyu bwana toka enzi za Mwalimu alipoteza sifa za kuwa kiongozi, lakin bado watu (ambao kimsingi ni wajinga) wanamng'ang'ania. Mpeni tu huo uenyekiti wa chama chenu anyway kwa maana hata msipompa hamtamake any significant change kimvuto. Ila nchi hii ataisikia tu.
 
Kwa mujibu wa gazeti la Dira, toleo la leo kama kweli tunaitakia mema nchi yetu basi tumuunge mkono Lowassa, achukue uenyekiti wa chama taifa na JK abaki na urais wake.

Mawaso ya anayefikiri kwa Masaburi, mfamaji anayetapatapa aweje M/Kiti wa CCM, labda aunde chama chake.
 
Jinsi songombingo la madokta lilimvyomkalia kooni JK, atakuwa anatafakari kuachia kijiti kwa EL. Jeuri ya fedha ya EL na uwezo wake katika maamuzi magumu, huu mgogoro wa madokta angeshamalizana nao longi-kitambo tu!
 
Hiyo CCM mpeni hata bata awaongoze hicho chama kinakufa na hakuna wakukiokoa;siojaona mijitu ya ovyo zaidi ya hii inayoongoza CCM hata wenyewe wamejichoka.
 
hizi kelele tu za watu msio na mbele wala nyuma kwanza wengi wenu hata kura huwa hampigi LOWASSA nchi lazima tumpe sisi ambao huwa tunapiga kura
 
Back
Top Bottom