Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,843
- 10,765
Wakuu, kufuatia kusambaa kwa video ya "magaidi wa kutengeneza" kuona dalili za JWTZ kutengenezewa mazingira ya kusimamia uchaguzi mkuu ujao.
Matukio ya namna hii yakizidi ninyi wananchi mtalilia JWTZ liwahakikishie usalama wakati wa uchaguzi, huku wengi wetu tukiapa kwa miungu yetu yoote kutoshiriki shughuli za kisiasa kwa hofu ya kulipuliwa.
Tutarajie "maandamano" kutoruhusiwa tena. Mikutano ya kisiasa itakuwa limited. Viongozi na vyama vya kisiasa kuanza kuhusishwa na Ugadi.
Tutarajie magaidi kujitambulia na vyama vya siasa , hivyo kuwafanya viongozi wake wawe bize kukanusha kuhusika na vikundi hizi.
Huu utakuwa ni wakati muafaka kwa chama jeruhiwa ku-hit back kwa nguvu zote kwa kutumia kete ya vyama vya kigaidi.
After all, hivi huko Zanzibar kumewahi husishwa na matendo ya kigaidi? Vipi huko Arusha!!?
What is the chance kwamba maandalizi yalianza muda mrefu!!?
Eyes wide shut!!