Uchaguzi mkuu 2020: Kati ya Magufuli na Mama Salima Kikwete nani anafaa?

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,942
18,669
Kwa mfano CCM ikikubali kufanya democrasia. 2020 wakafanya uchaguzi wa kusimamisha mgombea wa Uraisi. Katika top 2 asimame Magufuli na Mama Salma kikwete. Je nani atafaa kuwekwa mgombea wa Uraisi kupitia chama cha mapinduzi?

Tuchangie bila mihemko. Vigezo na mashari vya kutokumuuzi mkuu vizingatiwe.
21d21a9a904f448dbcde80b199d4c3f6.jpg
 
Be patient, keep patience, wanakuja! toka Lumumba!
 
Kwa mfano CCM ikikubali kufanya democrasia. 2020 wakafanya uchaguzi wa kusimamisha mgombea wa Uraisi. Katika top 2 asimame Magufuli na Mama Salma kikwete. Je nani atafaa kuwekwa mgombea wa Uraisi kupitia chama cha mapinduzi?

Tuchangie bila mihemko. Vigezo na mashari vya kutokumuuzi mkuu vizingatiwe.
Naniii Mama naniii nakufaa
 
Ungeweka wasifu wao japo kidogo. Ingetupa nasi nafasi yakuona na kupima uelewa wako
 
Kwa mfano CCM ikikubali kufanya democrasia. 2020 wakafanya uchaguzi wa kusimamisha mgombea wa Uraisi. Katika top 2 asimame Magufuli na Mama Salma kikwete. Je nani atafaa kuwekwa mgombea wa Uraisi kupitia chama cha mapinduzi?

Tuchangie bila mihemko. Vigezo na mashari vya kutokumuuzi mkuu vizingatiwe.

Halima mdee we!
 
Hapo kun Kande za mahindi yaliyokobolewa na Kande za Mahindi mabichi.

Ila zote ni kande tu.
 
Kwa mfano CCM ikikubali kufanya democrasia. 2020 wakafanya uchaguzi wa kusimamisha mgombea wa Uraisi. Katika top 2 asimame Magufuli na Mama Salma kikwete. Je nani atafaa kuwekwa mgombea wa Uraisi kupitia chama cha mapinduzi?

Tuchangie bila mihemko. Vigezo na mashari vya kutokumuuzi mkuu vizingatiwe.
Naona wewe umechoka kuishi nchi hii!...
 
Mama Salma anamzidi huyu dubwana kwa mbali sana! Yaani kinachompamba huyu dubwana ni vyombo vya dola tu kumzunguka kila mahali. Bila hivyo hakuna ambaye angeitikia hata salamu yake tu. Roho mbaya aliyoionyesha kwa Nape ni laana itakayo mtafuna hata akiwa nje ya hicho kofia ya madaraka aliyonayo.
 
Kwa mfano CCM ikikubali kufanya democrasia. 2020 wakafanya uchaguzi wa kusimamisha mgombea wa Uraisi. Katika top 2 asimame Magufuli na Mama Salma kikwete. Je nani atafaa kuwekwa mgombea wa Uraisi kupitia chama cha mapinduzi?

Tuchangie bila mihemko. Vigezo na mashari vya kutokumuuzi mkuu vizingatiwe.
21d21a9a904f448dbcde80b199d4c3f6.jpg
Yoyote atakaewekwa na CCM kati ya hawa uliowataja basi UKAWA inachukua nchi saa moja asubuhi bila ubishi
 
Huyu aliyetufanyia hujuma kwenye bajeti ya nchi hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi.
 
Back
Top Bottom