M masssaiboi JF-Expert Member Joined Feb 10, 2009 Posts 636 Reaction score 134 Dec 15, 2009 #1 Wanajamii vp tukianzisha kampeni ya kuwanyima ccm kura ili wajue kwamba wao pia siyo miungu watu, tukiweza kuimiza vijana wetu kupitia mitandao inaweza kusaidia kuielimisha jamii.
Wanajamii vp tukianzisha kampeni ya kuwanyima ccm kura ili wajue kwamba wao pia siyo miungu watu, tukiweza kuimiza vijana wetu kupitia mitandao inaweza kusaidia kuielimisha jamii.
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,945 Dec 15, 2009 #2 shida ni tumchangue nani..vyama vyote miozo! Ukweli ni kwamba hakuna chama kinachoonyesha uongozi bora.. so till then, afadhali zimwi likujualo!
shida ni tumchangue nani..vyama vyote miozo! Ukweli ni kwamba hakuna chama kinachoonyesha uongozi bora.. so till then, afadhali zimwi likujualo!