Uchaguzi mdogo: Kuna uwezekano CHADEMA wameshapoteza majimbo ya Monduli, Ukonga na Buyungu hata kabla ya uchaguzi

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
Kufuatia majimbo kutangazwa na Tume ya Uchaguzi kufanyika uchaguzi wa marudio kufuatia majimbo hayo kuwa wazi kutokana na wabunge waliochaguliwa mwaka 2015 kuhamia CCM na Mbunge mmoja kufariki baada ya kuugua ghafla Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akiwa anaendelea na vikao vya Bunge kuna uwezekano mkubwa sana kwa majimbo hayo ambayo yalikuwa chini ya chama cha Chadema kuchukuliwa na chama cha CCM kutokana na kila kinachaminika kuwa vyama vya upinzania kutokuwa na sera na imani wanayoisimamia kwa sasa baada ya wabunge wengi na madiwani kuhama vyama vya upinzania na kuhamia CCM kwa hiari yao wenyewe.

Kesho kuna maadhi ya majimbo yanafanya uchaguzi na mengine ni September mwaka huu uwezekano ni mkubwa sana wa majimbo hayo kwenda CCM kutokana na CCM walivyojipanga kuhakikisha wanachama wao wanapiga kura za kutosha ili kuibuka kidedea kwenye hizo chaguzi ndogo.

Mara nyingi kwenye uchaguzi huwa kila mmoja anatafuata mbinu za kuhakikisha anapata wafuasi wengi wa kuwapigia kura kwa kufanya kampeni ktk mikutano ya hadhara kutanga sera zao,kampeni ya makundi kwa makundi na kampeni hata ya nyumba kwa nyumba kama tulivyomuona Mhe Zitto Kabwe kwa baadhi ya maeneo.

Na tukumbuke sana maeneo mengi ya vijijini CCM inakubalika sana na ndiko waliko wapiga kura wengi ambao bado wana imani kubwa na chao chao cha CCM katika kuwahakikishia wanaendelea kuwa na amani,umoja na maendeleo kwa ujumla.

Vyama vya upinzani wanatakiwa kujipanga kisawasawa kupambana na chama hiki dume ambacho kina mizizini toka taifani mpaka mashinani.
 
Human Trafficking.

Slave trade.

Jechalism.

"Mkurugenzi nakupa kila kitu ole wako utangaze mpinzani kashinda"

PoliCCM

NECCM

Dictatorship

ROHO MBAYA

Hayo ndiyo yanayoipa ushindi chama chenu nothing else..

Ila kumbukeni mtatutawala kilazima ila sisi hatuwapendi.
 
pombe chato aliwahi kupark trekta njiani ili mgombea mpinzani asiweze kurudisha fomu na kupita bila kupingwa..
Zote ni mbinu za medani katika kutafuta ushindi................unafikiri Christiano Ronaldo amelala tu kila siku na makombe yanamfuata kitandani:mad:
 
Human Trafficking.

Slave trade.

Jechalism.

"Mkurugenzi nakupa kila kitu ole wako utangaze mpinzani kashinda"

PoliCCM

NECCM

Dictatorship

ROHO MBAYA

Hayo ndiyo yanayoipa ushindi chama chenu nothing else..

Ila kumbukeni mtatutawala kilazima ila sisi hatuwapendi.
Noted.
 
IKO HIVI BROTHER USIANGAIKE SANA KUUUMIZA AKILI YAKO NA MOYO WAKO KUHUSU CHADEMAA.........

SISI KAMA CHADEMA HATUNA SHIDA YOYOTE HATA TUKIPOTEZA MAJIMBO YOTE NCHINI HATA IKIFIKIA HATUA TUKAWA HATUNA MBUNGE WALA DIWANI SISI KWETU NI POAAA TUU.

ILA SHIDA IPO KWENU KWA NYINYI WENZANGU NA MIMI AMBAO MMEZOEA KUPEWA PESA ZA BURE KWA AJILI YA KUPAMBANA CHADEMA SASA SIJUI KAMA CHADEMA IKIFIKAA SIJUI MTAPAMBANA NA NANI
 
Uliwahi kumuona Ronaldo anapita mabeki wa timu pinzani kwa msaada wa polisi au refa kumpa penalty kila akiingia ndani ya box? Huwezi hata kutetea hoja yako kwa mifano inayoendana. Hayo majimbo yataenda ccm sio kupitia box la kura bali kwakuwa rais anataka iwe hivyo.
 
IKO HIVI BROTHER USIANGAIKE SANA KUUUMIZA AKILI YAKO NA MOYO WAKO KUHUSU CHADEMAA.........

SISI KAMA CHADEMA HATUNA SHIDA YOYOTE HATA TUKIPOTEZA MAJIMBO YOTE NCHINI HATA IKIFIKIA HATUA TUKAWA HATUNA MBUNGE WALA DIWANI SISI KWETU NI POAAA TUU.

ILA SHIDA IPO KWENU KWA NYINYI WENZANGU NA MIMI AMBAO MMEZOEA KUPEWA PESA ZA BURE KWA AJILI YA KUPAMBANA CHADEMA SASA SIJUI KAMA CHADEMA IKIFIKAA SIJUI MTAPAMBANA NA NANI

HAHAHHAHAHAHHAHHAHHHHAHAHHAHHA, HII ITASABABISHA WAANZE KULANA WENYEWE KWA WENYEWE..

MBOWE ITISHA KIKAO NA UTANGAZE CDM YOTE KWA SASA ITAKUWA CCM..
 
Human Trafficking.

Slave trade.

Jechalism.

"Mkurugenzi nakupa kila kitu ole wako utangaze mpinzani kashinda"

PoliCCM

NECCM

Dictatorship

ROHO MBAYA

Hayo ndiyo yanayoipa ushindi chama chenu nothing else..

Ila kumbukeni mtatutawala kilazima ila sisi hatuwapendi.
HAWAPENDEKI!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Kiuhalisia viongozi wa cdm wanahamia ccm ila ccm haipendwi. Umaskini wa awamu hii utavunja rekodi.. Kashfa za epa, dowans na kigoda. Siku tukipt uongozi wa kidemokrasia kuna watu watahukumiwa kunyongwa
 
Zote ni mbinu za medani katika kutafuta ushindi................unafikiri Christiano Ronaldo amelala tu kila siku na makombe yanamfuata kitandani:mad:
hii yako haina tofauti na mtu anayemsifia aliyepata utajiri kupitia ujambazi au mihadarati!
 
Kiuhalisia viongozi wa cdm wanahamia ccm ila ccm haipendwi. Umaskini wa awamu hii utavunja rekodi.. Kashfa za epa, dowans na kigoda. Siku tukipt uongozi wa kidemokrasia kuna watu watahukumiwa kunyongwa
Wafuata nini hao viongozi wako..........
 
Back
Top Bottom