mihadarati
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 268
- 74
Wanajamvini kesho ndo fainali tuliyokuwa tunaisubiri ya uchaguzi mdogo wa udiwani kwenye takribani Kata 26 nchini.
Tunaomba waliopo maeneo husika na wenye huduma ya internet tusiache kupeana update kwa upande wangu nipo kwenye gari naelekea Moshi ntawapa update kwenye uchaguzi Kata ya Kiborlon.
Mabadiliko kwenye hii nchi yataletwa na mimi,wewe na sisi sote.