miley
Member
- Aug 2, 2013
- 87
- 14
Nimeshuhudulia with wanakusanyika kwenye nyumba moja hapa Mbezi juu mtoni wanapatiwa pesa kumpitisha mgombea udiwani mwanamke jin a silifahamu. Lakini wanachofanya wanachukuliwa with (vijana) kuwapa pesa na with wengine wanaotakiwa wapige kura hawaitwi. Napenda kujua wanaotakiwa kupiga kuta ni akin a na ni has a kwani idadi kubwa hawakushiriki ukitoa wale waliochukua pesa. Takukuru wapo wapi?