UCHAGUZI KIDATO CHA TANO

A level ni nzuri.
Akienda Chuo atatumia miaka mingi kufikia level fulani.

Wakat akimaliza A level, anakuwa kwenye nafasi nzuri ya kufikia malengo yake.

Chukulia, amalize Clinical Officer; aajiriwe...Huyu mtu mpaka aifikie Medical Doctor[emoji134] itamchukua Miaka mingi tofauti na aliyemaliza Form 6 (yeye anaenda moja kwa moja Medicine).
 
Toa ushauri kijana unakua kama umevimbewa daku.
Ushauri gani sasa unataka???[emoji15][emoji15][emoji15] Wewe hujaona ushauri katika hiyo sentesi au ndo la saba B
 
Hili nalo la msingi la kuzingatia!
Hili ndo kubwa kuliko yote Diploma gharama zake zipo juu kuanzia Maradhi...Chakula mpaka Mavazi ni shughuli nzito sio kiboya tu!! Sasa mtu kajipima uwezo wa familia yake ni elimu bure leo unampeleka Chuo akalipe Mil 1.2 kama Ada hapo Bado hajalaa...[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Serikali iache utani aiseee
 
Mkuu una hasira! Kwani ulipata ZERO point ngapi O level?
 
Mpeleke private kuna taasisi inawafadhili. Analipiwa ada yote
 
Fani nzuri ya kusoma kwa mhitimu wa Form vi kichwa ni ualimu tu bachelor ya education usiniulize kwanini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…